Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,725
- 3,795
WEKA HESHIMA BAAKaribu yaani hapa nachungulia saa kila muda, naona saa kumi ya JPM aliyosema uwe ndio muda wa kufungua Bar hata haifiki. hahahahahaahhahha
WEKA HESHIMA BAAKaribu yaani hapa nachungulia saa kila muda, naona saa kumi ya JPM aliyosema uwe ndio muda wa kufungua Bar hata haifiki. hahahahahaahhahha
Tayari niko baa, wamenifungia kwenye stoo fulani hivi ili viongozi wa serikali wasinione, nasubiria saa kumi ndio nitoke nikae kwenye hewa angalau!!!!WEKA HESHIMA BAA
Kiongozi mkuu ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Joseph Pombe Magufuli aliyeingia madarakani mwaka 2015 akimshinda mpinzani wake Ndg Edward Lowasa kwa 58% ya kura zote halali zilizopigwa mwaka huo.kiongozi mkuu anaitwaje??
UNaalika na kicheche kimoja matata, unapiga bia huku unachezea twitaTayari niko baa, wamenifungia kwenye stoo fulani hivi ili viongozi wa serikali wasinione, nasubiria saa kumi ndio nitoke nikae kwenye hewa angalau!!!!
na ndie kiongozi mkuu tena 2020 na 2025 na 2013Kiongozi mkuu ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Joseph Pombe Magufuli aliyeingia madarakani mwaka 2015 akimshinda mpinzani wake Ndg Edward Lowasa kwa 58% ya kura zote halali zilizopigwa mwaka huo.
serikali mbili kiongozi mmoja si ndio???Kiongozi mkuu ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Joseph Pombe Magufuli aliyeingia madarakani mwaka 2015 akimshinda mpinzani wake Ndg Edward Lowasa kwa 58% ya kura zote halali zilizopigwa mwaka huo.
yes, ni Simba JPMserikali mbili kiongozi mmoja si ndio???
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀UNaalika na kicheche kimoja matata, unapiga bia huku unachezea twita
Tayari niko baa, wamenifungia kwenye stoo fulani hivi ili viongozi wa serikali wasinione, nasubiria saa kumi ndio nitoke nikae kwenye hewa angalau!!!!

itakua serikali moja yenye majina mawili ndio mana kiongozi ni mmoja tuyes, ni Simba JPM
Serikali ya SMZ in semi autonomous gvt. Kiongozi mkuu wa nchi ya Tanzania ni mmoja Mhe Magufuli.serikali mbili kiongozi mmoja si ndio???
NBCMshahara umetoka tayari nmb , NBC confirmed
napenda sana, hakuna foleni kabisa,, unajipuliza perfyum hakuna majasho,,
Anaitwa Mhe John Magufuli Tanzania President ndiye kiongozi mkuu hapa Tanzaniakiongozi mkuu anaitwaje??
tusubirini nasisi acheni ubinafsiUzi umekufa natural dealth.
Tuonane mwezi ujao kwa uzi mwingine kama huu
Wana mark time...Ndio mshahara umetoka lakini hakuna nyongeza hata kidogo. Ila kwa sasa NMB ndio wamewekewa benki zingine sijui wanasubiri nini.
Ila hakuna ongezeko
Hahaha kweli umetoka! Nimepishana na jamaa yupo mbio kwelikweli anawahi home kuchukua kadi



Haya wenye mishahara yenu..