Umetoka lakini hakuna badiliko hata kidogo!!!!wewe ni lazima utakuwa ni mteja wa Milembe. Sio bure Boss.
😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡
Umetoka lakini hakuna badiliko hata kidogo!!!!wewe ni lazima utakuwa ni mteja wa Milembe. Sio bure Boss.
tuna serikali ngapi kwani mkiuubaadhi kime....na baadhi Kita ....
hahah jioni tunaanzisha Uzi mpya WA nini kinaendelea baada ya salio kusoma, wengine utasikia nipo baa flani kuna totoz kinoma,
Ndio.Jamani et mishahara tayali??
Na hiyo ni moja ya kazi za feza.hahah jioni tunaanzisha Uzi mpya WA nini kinaendelea baada ya salio kusoma, wengine utasikia nipo baa flani kuna totoz kinoma,
Duh kumbee tuweni tu na subraa...laba huko mbeleni patakuja kubadilikaUmetoka lakini hakuna badiliko hata kidogo!!!!
😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡
Jamani et mishahara tayali??
Ndio mshahara umetoka lakini hakuna nyongeza hata kidogo. Ila kwa sasa NMB ndio wamewekewa benki zingine sijui wanasubiri nini.Ndio.
Na nyongeza juu.
Kitu kama 10% hivi
hahaha, unajua walivyochelewesha watu wakawa wanajipa moyo kwamba labda kuna nyongeza!!!!Duh kumbee tuweni tu na subraa...laba huko mbeleni patakuja kubadilika
serikali 1 ila mshahara njia tofauti, nadhani umenielewatuna serikali ngapi kwani mkiuu
Malipo ni hapahapa dunianiMshahara tayari watu wa NBC tumeshapata sms, lakini hakuna nyongeza yeyote... hivi huyu mwamba huwa anawaza nn mwaka wa nne huu bila ongezeko
Sidhani kama kutakuwa na uzi kama huo. watumishi wengi walitegemea nyongeza!!!!hahah jioni tunaanzisha Uzi mpya WA nini kinaendelea baada ya salio kusoma, wengine utasikia nipo baa flani kuna totoz kinoma,
Ipo siku itabaki kuwa hiatoriaMalipo ni hapahapa duniani
Hahaha yaan ni hatareee ndugu anguhahaha, unajua walivyochelewesha watu wakawa wanajipa moyo kwamba labda kuna nyongeza!!!!
Ipo siku itabaki kuwa historiaIpo siku itabaki kuwa hiatoria
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mshahara tayari watu wa NBC tumeshapata sms, lakini hakuna nyongeza yeyote... hivi huyu mwamba huwa anawaza nn mwaka wa nne huu bila ongezeko
Ahaaaaaaaa n Shiiidaaaaaaa!!!Mshahara umetoka na kuna badiliko kwa waliopandishwa madaraja, Aidha kuna madeni yamelipwa kwa waliokuwa wanadai malimbikizo ya mishahara, fedha za likizo, matibabu, uhamisho n.k. Aidha kundi jengne linataraji kubadilishiwa vyeo mwishoni mwa mwezi huu. Fupisha habari hii kwa maneno 30
we upo njia ipiserikali 1 ila mshahara njia tofauti, nadhani umenielewa