Mshahara wa nini wa dhambi ama ?Mshahara tayari.
benki ganiMshahara tayari.
Itabidi tuanzishe Uzi maalumu kwa wale tunaosubiria mshahara
Ndo wapiOh. Nina mawazo ya kishenzi. Nilifikiri unasema umefika kileleni.
Kwa hiyo unawashauri waache kazi?Kufanyishwa kazi na mshahara kucheleweshewa ni utumwa sana
NMB mpaka kufikia jioni watakuwa wamepata wote japokuwa wengi bado hawajapata mpaka kufikia muda huu.Nmb wenye account huko wameshapata
NMB pekeyao au??NMB mpaka kufikia jioni watakuwa wamepata wote japokuwa wengi bado hawajapata mpaka kufikia muda huu.
CRDB bado hakuja noga sana mkuuMshahara umetoka tayari nmb , NBC confirmed
HahahhaMshahara wa nini wa dhambi ama ?
Hahahha

Mkuu sijui, tatizo crdb hawatumi msg salary ikiingiaCRDB bado hakuja noga sana mkuu
last month walinitumia nikashangaaMkuu sijui, tatizo crdb hawatumi msg salary ikiingia
We mkubwa sasa. Kwani kaka akiomba huwa anaitaja kwa jina kwamba nipe ninihii?Ndo wapi
Mbili hapa Tanzania. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT ) na ile ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ )tuna serikali ngapi kwani mkiuu
kiongozi mkuu anaitwaje??Mbili hapa Tanzania. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT ) na ile ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ )