funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,650
- 21,485
Nakuelewa na mie pia ni m/kazi. Watu wanakwama mpk wanakopa kwa kuchelewa kwa wiki tu, ukiwa na vyanzo vingine huwezi kukosa sh mbili tatu za ku-survive.Mkuu hata wenye vyanzo vingine nao wamekwama kwa kuwa wanategemeana.
Watu hawaendi saluni, hadi mshahara utoke.
Wenye nyumba hawajalipwa kodi hadi mshahara utoke
Watu hawanywi vinywaji vya burudani hadi mshahara utoke
Watu hawanunui vitu vingine ambavyo sio basic needs hadi mshahara utoke
KUCHELEWA KWA MSHAHARA KUNAKWAMISHA HATA WENYE SHUGHULI ZINGINE

