Mzungu wa madawa
Senior Member
- Aug 16, 2024
- 120
- 282
Mimi nalipa kodi nyie waajiriwa mnalipa nini zaidi ya kukatwa makato yasiyo na kichwa wala miguu.Hata kufanya biashara ninutimwa kwa mteja na serikali.
Waajiriwa ndyo kila siku wanatusumbua kwa mikopo ambayo hawajui wakikopa watailipa vipi, tupo nao mtaani na tunaona wanavyo taabikaNInyi watu wa biashara ndio mko bize na wivu kwa hivyo vilaki.
Huwezi kuona Mwajiriwa anasema vibaya, ila vibuyu kama nyie ambao tuvibanda twa tigo pesa, mna chuki nzitoooo kama paka shume
No uniforms no erectionNo reforms NO ERECTION.
Unalipwa laki saba au milioni unachekelea na kusema mitano tena wakati mwenzako anatemvelea V8 na Kila kitu anakipata bure lakini wewe na milioni Moja Yako hata uiunganishe miaka 30 huwezi kununua v8.mabadiliko yanaanza na wewe mtumishi kujitambua
Akaunt yangu ile ileHuu mshahara naukabidhi wote kwa mume wangu Kipenzi Wakili Msomi Mbaga Jr
Cc: Lamomy Extrovert secretarybird Poor Brain
Washagombana 😂Acha ujinga wako utagombanisha watu tafadhari sana
Mimi nalipa kodi ya zaidi ya milioni 5 kwa mwaka, kutoka kwenye kipatao kinacjotokana na nguvu, ujuzi na kazi yangu. Au unafikiri napewa pesa kama.msaada.Mimi nalipa kodi nyie waajiriwa mnalipa nini zaidi ya kukatwa makato yasiyo na kichwa wala miguu.
Komaa na hao wanaokusumbua kwasababu ni wapumbavu na hawajieleiwi.Waajiriwa ndyo kila siku wanatusumbua kwa mikopo ambayo hawajui wakikopa watailipa vipi, tupo nao mtaani na tunaona wanavyo taabika
Hiyo 5m kwa mwaka umeandika tu hapa na haijulikani ni kweli au uongo, mimi nalipa zaidi ya hiyo ndani ya mwaka, japo wakati mwingine tunamalizana juu kwa juu na maofisa wa kule kodi zinapokwenda.Mimi nalipa kodi ya zaidi ya milioni 5 kwa mwaka, kutoka kwenye kipatao kinacjotokana na nguvu, ujuzi na kazi yangu. Au unafikiri napewa pesa kama.msaada.
Wewe unalipa kiasi gani??
Hakuna anaye nisumbua ila wengine unawasaidia tu kwasababu ni watu wa karibu na tayari wana mizigo ya madeni kuko kwenye mabenki yao.Komaa na hao wanaokusumbua kwasababu ni wapumbavu na hawajieleiwi.
Kweli malipo ya kisheria lazima yalipwe lakini waajiriwa wanakatwa pesa nyingi sana, mfano hiyo slip uliyoweka hapo inajieleza ni namna gani waajiriwa wanateseka.Ila kama ni malipo ya pesa za kisheria za kodi na tozo, hiyo ni kama kifo haikwepeki duniani kote
Nyie na hizi convo zenu ndo mnatufanya Sisi wengine tujione bure kabisa dooooh!Hiyo 5m kwa mwaka umeandika tu hapa na haijulikani ni kweli au uongo, mimi nalipa zaidi ya hiyo ndani ya mwaka, japo wakati mwingine tunamalizana juu kwa juu na maofisa wa kule kodi zinapokwenda.
Hakuna anaye nisumbua ila wengine unawasaidia tu kwasababu ni watu wa karibu na tayari wana mizigo ya madeni kuko kwenye mabenki yao.
Kweli malipo ya kisheria lazima yalipwe lakini waajiriwa wanakatwa pesa nyingi sana, mfano hiyo slip uliyoweka hapo inajieleza ni namna gani waajiriwa wanateseka.
Hahahha nomaBora hata hiyo riziki yako isiyo na masimango siku ukichoka unalala hakuna wa kukupigia kelele….!!
Hao hiyo mishahara yenyewe ukitoa makato ni huzuni tupu 😹😹😹
Mshahara gani haukai hata week 2 🤣
We live among Evil people with friendly faces 😎Nyie na hizi convo zenu ndo mnatufanya Sisi wengine tujione bure kabisa dooooh!
Wewe jamaa ni kibuyu. Nmekuwekea payslip, kodi 450,000 kwa mwezi bado huoni.Hiyo 5m kwa mwaka umeandika tu hapa na haijulikani ni kweli au uongo, mimi nalipa zaidi ya hiyo ndani ya mwaka, japo wakati mwingine tunamalizana juu kwa juu na maofisa wa kule kodi zinapokwenda.
Kama ni watu wako wa karibu na bado wanakuomba msaada kibuyu kama wewe basi ni wapuuzi, loosersHakuna anaye nisumbua ila wengine unawasaidia tu kwasababu ni watu wa karibu na tayari wana mizigo ya madeni kuko kwenye mabenki yao.
Kweli malipo ya kisheria lazima yalipwe lakini waajiriwa wanakatwa pesa nyingi sana, mfano hiyo slip uliyoweka hapo inajieleza ni namna gani waajiriwa wanateseka.
angalau mkapooze mikopo kausha damuView attachment 3307236
Bora aisee ngoja nika-withdraw baadae niwatafute realMamy na Mallerina ili niwavute katika 3some
Hongera mkuu🤣🤣🤣Mimi nalipa kodi ya zaidi ya milioni 5 kwa mwaka, kutoka kwenye kipatao kinacjotokana na nguvu, ujuzi na kazi yangu. Au unafikiri napewa pesa kama.msaada.
Wewe unalipa kiasi gani??
Komaa na hao wanaokusumbua kwasababu ni wapumbavu na hawajieleiwi.
Ila kama ni malipo ya pesa za kisheria za kodi na tozo, hiyo ni kama kifo haikwepeki duniani kote
angalau mkapooze mikopo kausha damuMama kashacheka uko angalia NMB 😂
Kumbe hiyo ni slip yako? Aisee pole sana we jamaa, sasa umeona kwamba huo ni utumwa, yani unastahili kupokea 2m+ lakini unaambulia 1m.Wewe jamaa ni kibuyu. Nmekuwekea payslip, kodi 450,000 kwa mwezi bado huoni.
Looser ni wewe unayekatwa milioni nzima inayo tokana na jasho na muda wako kwa mwezi mzima.Kama ni watu wako wa karibu na bado wanakuomba msaada kibuyu kama wewe basi ni wapuuzi, loosers