Mzungu wa madawa
Senior Member
- Aug 16, 2024
- 120
- 282
Mimi nalipa kodi nyie waajiriwa mnalipa nini zaidi ya kukatwa makato yasiyo na kichwa wala miguu.Hata kufanya biashara ninutimwa kwa mteja na serikali.
Waajiriwa ndyo kila siku wanatusumbua kwa mikopo ambayo hawajui wakikopa watailipa vipi, tupo nao mtaani na tunaona wanavyo taabikaNInyi watu wa biashara ndio mko bize na wivu kwa hivyo vilaki.
Huwezi kuona Mwajiriwa anasema vibaya, ila vibuyu kama nyie ambao tuvibanda twa tigo pesa, mna chuki nzitoooo kama paka shume