min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,634
- 128,350
😃😃😃Jidanganye na hao wanakunywa machicha ya mbege ni wachina au?Hakun mangi kapuku
😃😃😃Jidanganye na hao wanakunywa machicha ya mbege ni wachina au?Hakun mangi kapuku
Daah, kwanini uoneshe chuki nzitoooo kwa jambo la uongo.Watumwa meno yote nje, sisi wengine kilasiku tunajilipa sio mpaka tusubiri rehema za mwajiri.
Acha tabiya za kimasikini wewe, na utakuwa mwalimu tyuMama kashacheka uko angalia NMB 😂
Hiyo couple yenu nimeipenda sana wizo, huyo mbaga ndo type yako sasa usimuache 😹😹Huu mshahara naukabidhi wote kwa mume wangu Kipenzi Wakili Msomi Mbaga Jr
Cc: Lamomy Extrovert secretarybird Poor Brain
Utamaduni so sweet😃😃😃Jidanganye na hao wanakunywa machicha ya mbege ni wachina au?
Bora hata hiyo riziki yako isiyo na masimango siku ukichoka unalala hakuna wa kukupigia kelele….!!Bora yenu nyie mna mama sisi wengine riziki ya mbwa ipo miguuni petu
Mambo ya jeshini haya mkuu, ila huko kwingine ni balaa tupuKwanza mishahara inatakiwa itoke mara mbili Kwa mwezi hii biashara ya Hadi mwisho wa mwezi ni utumwa sana.
Tarehe 15 na tarehe 30
Acha husda na wivu, ni uzembe wako ulikufanya ushindwe shuleWatumwa meno yote nje, sisi wengine kilasiku tunajilipa sio mpaka tusubiri rehema za mwajiri.
Wivu kuhusu nini?Acha husda na wivu, ni uzembe wako ulikufanya ushindwe shule
Hakuna chuki bali huo ndio ukweli kwamba kuajiriwa ni utumwa.Daah, kwanini uoneshe chuki nzitoooo kwa jambo la uongo.
Mshahara upi sasa wa kusababisha niwe na roho mbaya? Hizo laki kadhaa ndiyo zifanye niwe na chuki?Roho mbayaa kwasababu ya mshahara wa mtu.
Punguzeni wivu, chuki na roho mbayaa.
Nanm hata huo mshahara haujatoka
Wenye elimu hawafanani na wewe, we ni chokoraa tuWivu kuhusu nini?
Mimi hakuna anaye nilipa ila mimi ndiye nalipa watu, kuhusu shule haijanishinda na huwenda nina elimu kubwa hata kuliko wewe.
No reforms NO ERECTION.Mama kashacheka uko angalia NMB 😂
Eti chokoraa 😂😂Wenye elimu hawafanani na wewe, we ni chokoraa tu
Mnashangilia kama mazuzu, huo mshahara umepewq bure bila kufanya kazi? Eti "mama kashacheka" akili kama hizi huwezi kuona unastahili unachopata kwa jasho lako ila utaona kama unapewa fadhila !Mama kashacheka uko angalia NMB 😂
Hata kufanya biashara ninutimwa kwa mteja na serikali.Hakuna chuki bali huo ndio ukweli kwamba kuajiriwa ni utumwa.
NInyi watu wa biashara ndio mko bize na wivu kwa hivyo vilaki.Mshahara upi sasa wa kusababisha niwe na roho mbaya? Hizo laki kadhaa ndiyo zifanye niwe na chuki?