realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 4,270
- 9,886
Ngoja niweke Account yangu hapaView attachment 3307236
Bora aisee ngoja nika-withdraw baadae niwatafute realMamy na Mallerina ili niwavute katika 3some
Ngoja niweke Account yangu hapaView attachment 3307236
Bora aisee ngoja nika-withdraw baadae niwatafute realMamy na Mallerina ili niwavute katika 3some
HiMama kashacheka uko angalia NMB 😂
Tarehe 21 mnaanza kukopa. Shida ziko palepale.Mama kashacheka uko angalia NMB 😂
Waambie wayazoe taratibu yasipate mchanga umepata dharuraMleta mada nimewaambia homu wamwage maharage yote nakuja .Mpaka dk hii bila bila.Au nipitie cabbage?!
Wanaopokea mshahara wa serikali ya sisiemu Ni wanachadema?Hapo hata point za no Reforms no Election zitasahaulika kwa wiki nzima .. had mshahara uishe.
Kamzozo ishakuwa🤣🤣Waambie wayazoe taratibu yasipate mchanga umepata dharura
🤣🤣Ngoja niweke Account yangu hapa
Basi punguza wivu, chuki na roho mbaya maana huna kitu.Hakuna kitu nitaweka hapa kuhusu mimi na biashara zangu.
Mleta mada nimewaambia homu wamwage maharage yote nakuja .Mpaka dk hii bila bila.Au nipitie cabbage?!
Inatia hasira hii kituMimi nalipa kodi ya zaidi ya milioni 5 kwa mwaka, kutoka kwenye kipatao kinacjotokana na nguvu, ujuzi na kazi yangu. Au unafikiri napewa pesa kama.msaada.
Wewe unalipa kiasi gani??
Komaa na hao wanaokusumbua kwasababu ni wapumbavu na hawajieleiwi.
Ila kama ni malipo ya pesa za kisheria za kodi na tozo, hiyo ni kama kifo haikwepeki duniani kote
Ni amsha amsha tu! Ila kitu juma mosi uhakikaNadhani huo mshahara kama umetoka, basi ni baadhi ya kada(taasisi), mimi niko NMB hadi sasa haijasoma.
halafu hawataki reforms shingo ngumu kutwa nzima kazi kufuatilia nyendo za chadema,sasa wakifika kwa familia zao wanalia maisha magumuwanajeshi mnashida sana
Muongo huyo kanogesha weekend ya pasaka huyo hana lolote huyoNadhani huo mshahara kama umetoka, basi ni baadhi ya kada(taasisi), mimi niko NMB hadi sasa haijasoma.
Pesa wanapeleka wapWaajiliwa ni mzigo wa taifa
Hapo baada ya siku 2 wameishiwa
Mwenye chuki ni wewe na makasiriko yako ya madeni yanayo kukabili.Basi punguza wivu, chuki na roho mbaya maana huna kitu.
Huwezi kuweka kitu ambacho huna.
Kibuyu
Ndo maana wana hasira za hapa na pale! Hiyo basic duhhalafu hawataki reforms shingo ngumu kutwa nzima kazi kufuatilia nyendo za chadema,sasa wakifika kwa familia zao wanalia maisha magumu
Wanajeshi wana mishahara mizuri tatizo wanakopa sana.halafu hawataki reforms shingo ngumu kutwa nzima kazi kufuatilia nyendo za chadema,sasa wakifika kwa familia zao wanalia maisha magumu