Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
- Thread starter
- #21
UmeonaHapo hata point za no Reforms no Election zitasahaulika kwa wiki nzima .. had mshahara uishe.
UmeonaHapo hata point za no Reforms no Election zitasahaulika kwa wiki nzima .. had mshahara uishe.
Basi mwongeze BICHWA KOMWE - kwenye orodha.🤣🤣 Mwachiluwi ameshamuwahi 🤣🤣
Ahaha au sio🤣🤣 Mwachiluwi ameshamuwahi 🤣🤣
Jidanganye mekuMama hanaga baya ila niny ndio mnapesa sana
Watulipe madeni yetu madukani!Watumwa meno yote nje, sisi wengine kilasiku tunajilipa sio mpaka tusubiri rehema za mwajiri.
Utalipwa kulingana na makubaliano yenu...Watulipe madeni yetu madukani!
Watulipe madeni yetu madukani!
Sasa ninyi si ndio wakopeshaji wakubwaJidanganye meku
Mm hata skupingi Mzee kama unabisha niku pm mpesa yanguSisi wengine hatujuagi hata Kama Kuna mwisho wa mwezi maana NO MONEY 🤑 SCARCITY AT ALL.
Kusubili mshahara ni umaskini mkubwa Sanaa 😊 😅 🤣 🤣 jamani niliyo yaandika ni UONGO mkubwa Sanaa Sanaa na nipuuzweee.
Kisa 20k 😂😂Kaka hii ni ya sikukuu.
Madeni subiri mwezi ujao tafadhari ....
Sio unaanza kufokea watu na kuleta ugomvi na pasaka hii
Ikiwa ya kweli uzidi barikiwa zaidi na Zaid.Mm hata skipping Mzee kama unabisha niku pm mpesa yangu
Sio ndio mlipe,mkope up ya tujaze maduka Mkuu!Kaka hii ni ya sikukuu.
Madeni subiri mwezi ujao tafadhari ....
Sio unaanza kufokea watu na kuleta ugomvi na pasaka hii
Makubaliano ni mshahara ukitokea,ngoja nimpigie!Utalipwa kulingana na makubaliano yenu...
Angalia salio utaibika 😂Makubaliano ni mshahara ukitokea,ngoja nimpigie!
Sio ndio mlipe,mkope up ya tujaze maduka Mkuu!
Sawasawa Mkuu,no reform no electionYan Mpo serious mnaachankujadili
NO REFORMS NO ELECTION mnageukia vimoshahara dusko dusko hivi ???
Mbona lissu anawaamini kuwa mtapambana kwa shibe na njaa makamabda ??? 😂😂😂😂
Jikazeni tukimaliza agenda ya No election tutawalipa pesa zenyu.
Alisema ukitoka atakulipa yote au nusu...Makubaliano ni mshahara ukitokea,ngoja nimpigie!