05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,643
Sawasawa Mkuu,no reform no election
Eeewaaaah. Hao bas KAMANDA Lisu popote alipo anafurahi kuona vijana time focus.
Sawasawa Mkuu,no reform no election
Hapokei simu!Atakuwa Bank!Alisema ukitoka atakulipa yote au nusu...
Huu sio mshahara ni posho ya pasaka...subiria mshahara
Kimekulamba!Hapokei simu!Atakuwa Bank!
Wacha watu waenjoy long wikend bwana...maisha ni kubirudika. Liwezekanalo leo lifanye hatuna mkataba na muumbaSasa May mtaishi kwa taabu mno.Mshahara tarehe 17?
Mabadiliko Lazima!Eeewaaaah. Hao bas KAMANDA Lisu popote alipo anafurahi kuona vijana time focus.
Sawasawa!Unalipwa laki saba au milioni unachekelea na kusema mitano tena wakati mwenzako anatemvelea V8 na Kila kitu anakipata bure lakini wewe na milioni Moja Yako hata uiunganishe miaka 30 huwezi kununua v8.mabadiliko yanaanza na wewe mtumishi kujitambua
Mkuu Karibu kigamboni tupate bia jioni ya leoWacha watu waenjoy long wikend bwana...maisha ni kubirudika. Liwezekanalo leo lifanye hatuna mkataba na muumba
Hakijanilamba,atautoa tuu kwa hiari,Labda Yuko kwenye no reform no election!Kimekulamba!
Kiota gani kizuri huko kigamboni niwe nacheki warembo wanaogelea? Vipi hapo villa dahl ni pazuri?Mkuu Karibu kigamboni tupate bia jioni ya leo
Hahaha 😁🤣Huu mshahara naukabidhi wote kwa mume wangu Kipenzi Wakili Msomi Mbaga Jr
Cc: Lamomy Extrovert secretarybird Poor Brain
Ww nenda kapike ndizi mkuuuMsiaze bila mimi kuwepo 😂
Hapana leo noWw nenda kapike ndizi mkuuu
Wa hivyo ni wachache sana wengi tumeshikia mabank pesa zao , usione watu tunalewa ukahisi kila siku kwetu ni sikukuu bwashee 😆Sasa ninyi si ndio wakopeshaji wakubwa
Hakun mangi kapukuWa hivyo ni wachache sana wengi tumeshikia mabank pesa zao , usione watu tunalewa ukahisi kila siku kwetu ni sikukuu bwashee 😆