Mshahara mwezi September

Mshahara mwezi September

Salary advance ya crdb inaokoa hasa kipindi cha mapito magumu,na kamshahara kakiingia utaona tu kaujumbe toka CRDB wameshakata chao.
 
Salary advance ya crdb inaokoa hasa kipindi cha mapito magumu,na kamshahara kakiingia utaona tu kaujumbe toka CRDB wameshakata chao.
Hii Iko CRDB tu.. NMB ipo pia..?
 
Sina kitu inaitwa mshahara 😂 siijui yan
Ndio maana hujawahi niona nauliza kama umeingia ama umetoka.

Why always nyie ndo mnauliza? Mkitulia tu kimya mshahara hauingii?
Sawa fogo,wafanyabiashara oyeeeeeee.
 
Ndo wanapakia mzigo jiandae ukabebe chako
 
Back
Top Bottom