Mshahara gross laki 7 kwa mwezi, niukubali?

Mshahara gross laki 7 kwa mwezi, niukubali?

By the way hiyo ni starting salary na kwa kuwa umehidiwa kupewa air time na transport chukua
 
Toka kwenu wewe umekuwa!
Badilisha mazingira!
In fact laki 7 kwa Dar is much usiogope maisha ni ya kawaida na vyumba kwa sasa is cheap!
 
Kuna vitu vingi vya kuangalia kama sustainability ya company and where do u want to see ur self in future, yani career growth yako

Ingawa bado Nina maswali mengi lakini nafikiri ni vyema ukaajiriwa ukaacha hiyo temporary job
 
wenzako hata laki mbili wanatafuta na hawaipati.wewe unajishaua
 
Ndugu yangu Njoo Dar! Ndani ya mwaka mmoja utaweza kuwa na hata mara tatu ya hiyo serious nakwambia,Mjini ni mjini Tu.
 
Hahahah sisi tunalipwa laki mbili na kila siku tumenyonga tai kwenye Ac maisha yanaendelea.

Unalipa kodi, gari nne kila siku, unahonga.....life linasonga

Cha msingi apart from mshahara unategemea kupata Gani tena????


Mshahara hautoshagi siku zote
 
Mkuu nakushauri uingie dsm ,pamoja nakuwa dar maisha ni tight,ishu ni kupambana,usitake vitu simple..think utakaa home paka lini??au utafanya tempo paka lini??
 
Kuna watu wanatisha wenzao et dar pagumu ....
Ndio pagumu ila sio kiivo
 
Hao wanaokwambia Dar maisha magumu nao wako dar na hawataki kuondoka..,sasa jibweteke ukae home na hiyo temporary job. Toka huko njoo upambane akili ikomae hiyo kijana.
 
Maisha ni akili yako wapo wanaoishi dar kwa laki 3 na maisha yanaenda ukisubir wa milion mzeee utazeekea kea temporary hizo


Ni hayo tu
 
Waliopo hapa sio wote wa milion 1 au 2 jf mpaka wa bila mshahara wapo kabisaaaa na wanaishi Dar
 
Kuna watu wanatisha wenzao et dar pagumu ....
Ndio pagumu ila sio kiivo
Ugumu upo dar ukilinganisha na mikoani.
Dar unalazimika kuunganisha magari 2 hata 3 ndipo ufike, hapo umeongeza nauli.
Pia ukitaka kuhang out, huku mikoani waweza tembea kwa miguu polepole mpaka sehemu ya kupumzika, sasa uwe unakaa kibamba utake kwenda coco beach yaan ni usumbufu tu.
Mikoani naamka saa 12 najiandaa, nakunywa chai kisha naenda kazin nafika saa 2 kasoro.
Sasa je wa mbezi-kimara ataamka muda huo afike posta saa 2?
Dar japo pazuri, lakini mara wizi mwiingi
 
Ugumu upo dar ukilinganisha na mikoani.
Dar unalazimika kuunganisha magari 2 hata 3 ndipo ufike, hapo umeongeza nauli.
Pia ukitaka kuhang out, huku mikoani waweza tembea kwa miguu polepole mpaka sehemu ya kupumzika, sasa uwe unakaa kibamba utake kwenda coco beach yaan ni usumbufu tu.
Mikoani naamka saa 12 najiandaa, nakunywa chai kisha naenda kazin nafika saa 2 kasoro.
Sasa je wa mbezi-kimara ataamka muda huo afike posta saa 2?
Dar japo pazuri, lakini mara wizi mwiingi
Ni kweli mkuu
 
Gross salary 700,000/-
Less NSSF------70,000/-

Less Payee-----75,600

Net Salary-------554,400/-

Kazi kwako, kama unaweza kuishi dar na pesa hiyo???
 
Kwa ufahamu wangu WCF anaechangia ni mwajiri, asilimia moja ya kipato chako kwa mwaka, mfanyakazi hukatwi mshahara wako naomba ufafanuzi hapi


Ni kweli mashirika binafsi yanachangia 1% na ya umma 1/2% ya mashahara wa mfanyakazi . Hii hatoi mfanyakazi.
 
Mi nakushauri ubaki mkoani kwa hiyo laki nne ni hela kubwa sana kuliko laki 7 hapa dar, hiyo laki nne mkoani ukiamua kupanga unapata chumba kuzuri cha 25, umeme na maji mnashea, usafiri mkoani ni raha sana gari moja tu huku dar hata hilo moja ni tabu tupu, chakula dar ni tofauti na mkoani kama huwezi kula kipande cha pweza itakubidi ununue kuku wenye sumu tofauti na mkoani, unakula Takapojo (parachichi), ugali, samaki, mboga za majani, maharage vyote bei chee sio dar huku, mm sikushauri hapo mkuu
 
Hakuna mshahara unaotosha hapa dar es salaam. Nilipograduate mwaka jana. Nilianza na mshahara net. 1m mara ya kwanza nilizan i mshahara mkubwa sana. Nakumbuka mwezi wa kwanza nilisave karibu laki 5,baada ya hapo majukumu yakaanza, kila mtu anajua una kazi na una mshahara, mshahara ukaanza kutonitosha.
Wakat naajiriwa niliambiwa napewa probation ya miezi 3,mda umefika lakin namuona boss kimya. Mda ukaenda zaid ya miezi 9 nafanya kazi sina mkataba. Hiki ktu cha kufanya kazi bila mkataba kinauma sana.. Yani siku ukitimuliwa kazi huna hata stahiki zako unazopata..
Kama hyo kazi ina mkataba nenda ukafanye
 
Back
Top Bottom