Mshahara gross laki 7 kwa mwezi, niukubali?

Mshahara gross laki 7 kwa mwezi, niukubali?

Usije Dar es Salaam labda Kama unataka kujiuza itakulipa twende Kihasibu sasa.

Gross Pay .......................700,000
NSSF 10% ..(70,000)
PAYE. .........(75,000)
Loan Board (94,500)
NHIF............(18,900)
WCF...............(6,300)
Nauli Dar......(24,000)
Rent si/room.(50,000)......(348,700)
Total Saving.......................351,300

Mkuu utabakiwa na 351,300 Kama unafanya Posta chakula wanachouza wale wakina mama kwenye ndoo kinaanzia 2,000 Posta hakuna mgahawa au hotel wanauza chakula 2,000 So mchana utakua na Jioni Ukisema Upike DSM cost inaongezeka so nachukulia utakula 1,500 kwa sababu Uswailini cheap kuliko posta.
Saving ..................................................351,300
Chakula Mchana 2000×30..............(60,000)
Aisee posta maji 500×30...............(15,000)
Chakula cha Jioni 1,500×30...........(45,000)
Mkuu chai siweki utamaliza pesa.(00000)
Saving kutoka kwenye 700,000 ni ..231,300

Hapo sijaweka Dawa Za Meno, Sabuni kuoga/kufulia, Chai, kwa sababu siyo vitu vya Lazima ha!ha! Of course mi natumiaga deto 3 kwa mwezi ni 4,500

Nauli nimeweka ya Kwenda na kurudi mkitoka mkoani bado hamjaenda kushangaa Mlimany City, Coco, Quality Center nauli inakua kubwa pia all in all bora ukae kwenu na huo mshahara huku Dar Noma sana mi nataka nirudi kijijini maisha ya Dar yamenishinda.
 
Acheni kumtisha unataka kuniambia watu wote wa Dar wana vipato vya million kwenda juu kwa mwezi!?
ajiandae kisaikology jinsi kipato kinavoongezeka na matumizi ni vile vile
 
Kwanza naona hujasuguaa mtaani wewe, pili unashidwa kufikiria kua kwenye laki7 unaajiriwa na probation ni miezi 3 hivyo baada ya hapo mshahara utapanda hapo utapata marupurupu mengi Fikiria nje ya boksi akili za kuambiwa changanya na zako kuna watu wanalipwa laki mbili wapo hapa town na wanafamilia. hata kutofautisha ajira ya muda na ya kudumu haujui???
 
ajiandae kisaikology jinsi kipato kinavoongezeka na matumizi ni vile vile
Cha msingi nadhani ni kumtia moyo na sio kumtisha kama walio wengi hapa! Dar hivi haichagui mtu maana tunaishi kulingana na tunachokipata, mtu anamtisha kijana kwa kodi ya nyumba si upunguani huo!? Kwani lazima akae chumba cha elfu 50 kama uwezo wake ni mdogo?na kwa bahati nzuri utamaduni wa Dar vyumba hulipiwa kwa miezi 3-6-12 inamaana atakua na time ya kujipanga kabla hajalipa kodi nyingine
 
Hahaha eti ni fair kwa graduate? ningekushauri tu kama unaona kuwa wewe ni graduate ni deal usiajiriwe..jiajiri....
 
kwa hiyo mkuu nipoteze au?
Kama hiyo ya laki 7 ni ajira ya serikali au Mashirika makubwa binafsi nenda kafanye. Ujifunze changamoto mpya na uimarishe CV yako. Serikalini itapanda miaka inavyoenda. Kukaa nyumbani kunaweza kukulemaza kupigania maisha yako binafsi. I mean kujitafutia assets zako.
 
Ukatae kaka, graduate unaanziaga gross 2.5M.
Acha kudanganya dogo! Serikalini graduate wengi huanzia chini ya m1. Wachache sana huanzia juu ya m1 lakini haufiki 1.5m
Hiyo laki saba chukua, hayo makato ni pamoja na bima ya afya, NSSF, PAYE vitu ambavyo ni muhimu kwa mwajiriwa. Net yako haitapungua laki tano!
Hiyo laki NNE unayopewa bila makato maana yake wewe ni KIBARUA wala siyo mfanyakazi! Heshima hakuna!
Lakini ukiwa mwanachama wa hifadhi ya jamii, bima ya afya ni kwa faida yako maana mwajiri anakuchangia pia! Kulipa kodi pia ni fahari ya mzalendo! Unachangia kumlipa mshahara rais, mawaziri, nk. Na unachangia maendeleo ya huduma mbalimbali za jamii! Hiyo ndo fahari ya RAIA mzalendo!
 
Nenda kafanye kazi ya 7 graduate wengi huo ndio mshahara wanaoanzia.

Achana na kufanya vibarua.
 
Take it, it is a stepping stone to higher heights! Usibweteke, Dar ni kiwanja kubwa, itapanua wigo wako, new environment, new networks and better prospects; go for it, Dar ina challenges zake myingi but one step at a time, you shall overcome.
 
Usije Dar es Salaam labda Kama unataka kujiuza itakulipa twende Kihasibu sasa.

Gross Pay .......................700,000
NSSF 10% ..(70,000)
PAYE. .........(75,000)
Loan Board (94,500)
NHIF............(18,900)
WCF...............(6,300)
Nauli Dar......(24,000)
Rent si/room.(50,000)......(348,700)
Total Saving.......................351,300

Mkuu utabakiwa na 351,300 Kama unafanya Posta chakula wanachouza wale wakina mama kwenye ndoo kinaanzia 2,000 Posta hakuna mgahawa au hotel wanauza chakula 2,000 So mchana utakua na Jioni Ukisema Upike DSM cost inaongezeka so nachukulia utakula 1,500 kwa sababu Uswailini cheap kuliko posta.
Saving ..................................................351,300
Chakula Mchana 2000×30..............(60,000)
Aisee posta maji 500×30...............(15,000)
Chakula cha Jioni 1,500×30...........(45,000)
Mkuu chai siweki utamaliza pesa.(00000)
Saving kutoka kwenye 700,000 ni ..231,300

Hapo sijaweka Dawa Za Meno, Sabuni kuoga/kufulia, Chai, kwa sababu siyo vitu vya Lazima ha!ha! Of course mi natumiaga deto 3 kwa mwezi ni 4,500

Nauli nimeweka ya Kwenda na kurudi mkitoka mkoani bado hamjaenda kushangaa Mlimany City, Coco, Quality Center nauli inakua kubwa pia all in all bora ukae kwenu na huo mshahara huku Dar Noma sana mi nataka nirudi kijijini maisha ya Dar yamenishinda.
Kwa ufahamu wangu WCF anaechangia ni mwajiri, asilimia moja ya kipato chako kwa mwaka, mfanyakazi hukatwi mshahara wako naomba ufafanuzi hapi
 
Take it, it is a stepping stone to higher heights! Usibweteke, Dar ni kiwanja kubwa, itapanua wigo wako, new environment, new networks and better prospects; go for it, Dar ina challenges zake myingi but one step at a time, you shall overcome.
sirud nanjilinji ng'o...
 
Jmaa anapenda kwao huyo daily apishane na baba, mama na wadogo zake kwake burudani nenda ukajifunze kujitegemea mbn hiyo hela na allowances ndefu sn
 
huhitaji kazi wewe, watu tunalipwa laki mbili na tumegraduate wewe laki Saba unaleta maringo, nipe contact niwatafute mimi waniajiri
mkuu unaomba contact ukafanye kazi wewe, unajua ni kazi gani lakini?
utauzwa na pumzi yako puani!
 
hello wapendwa!
samahani naomba tupeane elimu kidogo hapa,nimepata kazi mahali flani ambapo mshahara gross kwa mwezi ni laki Saba lkn itanibidi nihamie Dar kwa ajili ya hiyo kazi...

dar una ndugu?? kama unaye nenda ukakake wakati huo unajipanga kupanga, maisha mdogomdogo
 
Back
Top Bottom