Mshahara gross laki 7 kwa mwezi, niukubali?

Mshahara gross laki 7 kwa mwezi, niukubali?

.....Una fani nyingine au unategemea shahara tu?.....NY hakuna MTU aliyetosheka mshahara. Mambo mengine amua mwenyewe
 
Njoo Dar kwa huo mshahara maana hapo utakuwa unapata net around 520.000

Halafu Dar opportunity kibao maofisi mengi ni rahisi kupata kazi ingine nzuri..

Na utaishi poa tu wala usiogope laki tano unapata kachumba chako poa kabisa cha 50 k .. No stress.

Usiogope pia nakupa ofa siku ukija naweza kukupokea ukaishi kwangu hata mwezi mzima.

Karibu Dar.. Jijini
 
Unahisi kila alieko dar anakipato cha kuzidi 700k? Je ushajiuliza watu wa dar wanaishije wenye kipato cha chini ya kapo?? Hakuna maisha marahisi hata kama ungelipwa 2ml+ utapata changamoto tu na dawa yake sio kuzikimbia bali ni kuzikabili!
 
Mi bora nipokee hiyo laki nne huko mkoani kuliko laki saba hapa dar . hapa dar nyumba 100000 , umeme 10000 , maji 5000, na msosi ndo usiseme. Ila kama unamatumizi mazuri na hela basi usiache hiyo chance.
kwani kwingine umeme na maji vinauzwa tofauti?
 
Mkuu hapo net ni kama 500,000 under assumption that huna heslb deductions, kama zipo toa 75000 tena. Ndugu usije dar huku ni hatari sana mana matumiz kwa wiki ni kama huo mshahara wako wa mwezi
 
Kama watu wote wangekuwa wanakataa kwenda kufanya kaz mahali kwa kigezo cha Salary Wanaume wote tungezeekeea makwetu na hata tusingejenga huku Mjin@kk acha kubweteka hyo ndo njia ya kwako kutusuria
 
kwa hiyo mkuu nipoteze au?
Watu wamekuja huku bila hata hyo lakin saba unayolipwa ww still same fight na kumilik majumba.ndugu yangu njoo tu upambane wenzako walikuja mikono mitup huku now wana mijumba na maisha mazuri
 
Mkuu hapo net ni kama 500,000 under assumption that huna heslb deductions, kama zipo toa 75000 tena. Ndugu usije dar huku ni hatari sana mana matumiz kwa wiki ni kama huo mshahara wako wa mwezi

Watu wanaishi kwa mshahara wa laki 3 na maisha yanenda vizuri.
 
Mi bora nipokee hiyo laki nne huko mkoani kuliko laki saba hapa dar . hapa dar nyumba 100000 , umeme 10000 , maji 5000, na msosi ndo usiseme. Ila kama unamatumizi mazuri na hela basi usiache hiyo chance.
Hapo bado hajakutana na 15% ya loans board kama alikopa.
 
Ivi unachagua mshahara!? Ata ukilipwa laki tano nenda tu!!! Wakati upo hapo angalia njia zingine za kupanda juu ata kutafuta kazi kwengine!

Toka nyumbani ujitegemee! Na tatizo la kazi temporary ni kwamba ni temporary!!! Siku yoyote tu utakua huna kazi!
 
Njoo Dar kwa huo mshahara maana hapo utakuwa unapata net around 520.000

Halafu Dar opportunity kibao maofisi mengi ni rahisi kupata kazi ingine nzuri..

Na utaishi poa tu wala usiogope laki tano unapata kachumba chako poa kabisa cha 50 k .. No stress.

Usiogope pia nakupa ofa siku ukija naweza kukupokea ukaishi kwangu hata mwezi mzima.

Karibu Dar.. Jijini

Mkuu niko dar tayari, vp offer hii hainihusu mana sina pa kukaa
 
Back
Top Bottom