GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,157
- 110,635
Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako.
Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na Mtangazaji Nasib Mkoma wa Sports Extra ya Clouds FM juu ya hao Wachezaji umejibu si tu Kipuuzi bali Kitoto kuwa wamekuja Yanga SC kufanya Field (Kujifunza) kisha warudi Kwao kueleza mema ya Yanga SC.
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hivi Siku hizi katika Mpira wa Miguu huwa kuna Field kwa Wachezaji kama ilivyo katika Tasnia zingine za Kimajukumu na Utendaji?
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu (tena kwa Kukiri) kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja Kujaribjwa (for Trials) na Yanga SC kipindi hiki cha Usajili ili muwaone na Wakiwafaa muwasajili rasmi kwa Msimu ujao wa Michuano mbalimbali utapungukiwa nini?
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yaani ina maana kwa Kujifanya Kote Mtu wa Mpira na kuwa Mchambuzi tokea ukiwa Azam Tv hujui kuwa hata aliyekuwa Mshambuliaji mahiri Ibrahim Zlatan 'Ibrahimovic' huko nyuma (tena akiwa wamoto) alienda Arsenal FC kwa Majaribio (Trials) na hakuna aliyeshangaa?
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kama mfano huo wa Mchezaji wa mbali Ibrahimovic unakutesa turudi kwa Mchezaji na Mtanzania Mwenzetu Novatus Dismas ambaye leo hii Tegemeo letu Timu ya Taifa (Taifa Stars) nae alipoenda Ulaya alianzia Kwanza kufanya Trials (Majaribio) katika Klabu mbalimbali huko Ulaya kisha akaonekana anafaa ndipo Akasajiliwa na hadi Leo anakichafua vilivyo huko Mamtoni ( Ulaya ) aliko.
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe Mimi GENTAMIYCINE namalizia na hili Swali Kwako kama Yanga SC imewachukua / imeenda Zjarani huko nchini Malawi na hawa Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC kama Field (Mazoezi) kwanini hamkwenda na Wachezaji wenu wengi wa Team B ili na Wao wakajifunze mengi kama sehemu yao ya Field a.k.a Mafunzo ya Vitendo ya Taaluma?
Mkiambiwa hamna Akili mnakasirika.