Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbas acha Dharau na Punguza Chuki zako kwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara

Kwa hiyo kwa kuwa Jerry alikosea hata Manara akikosea naye sawa,sasa hizo akili au matope.

Wewe ndiye HOPELESS unayehalalisha kosa la Manara,kisa Jerry Muro alikosea NONSENSE.

Hivi nikuulize Jerry Muro alishawahi kumuattack mwandishi yoyote kwa vitu ambavyo ni personal?.

Hao Manchester,Liverpool,Real Madrid,Ac Milan vilabu vikubwa duniani,wandishi wanaandika sana tetesi kuzihusu hizo club lkn husikii maafisa wao wa habari kuwaattack waandishi kwa vitu personal,mwisho wa siku akitukanwa naye atadai "mnanionea sababu mimi mlemavu",unaanzisha ugomvi wa mawe wakati wewe mwenyewe unaishi nyumba ya vioo.

Atofautishe tu kati ya tofauti ya ushabiki na uweledi,kama nao wandishi wakireact kama afanyavyo yy,atakaye umia ni yeye.

Yeye mtu mgani kishagombana na Shaffih Dauda,Efm na leo hii Maulid wa Kitenge wa Wasafi kwa mambo ambayo haya make sense.Mbona akina Masao Bwire,Kifaru pamoja na kuongea kwao ila huwasikii kuwa attack waandishi kwa vitu personal.
Damn Fool.
 
Najua Boss wao Namba Tatu ( KMK ) atawapatanisha tu kwa niaba ya Mtu anayewapenda Wote ( JPM ) Ndugu. Manara anakubalika nae katika Michezo ( hasa ndani ya Klabu ya Simba SC anayoishabikia ) na Dkt. Abbas anakubalika nae ndani ya Serikali yake anayoiongoza akiwa kama Rais wa JMT.
Imeisha hiyoooooh
 
Mtu unajiita bughatt halafu kazi yako ni kujipendekeza kwa matajiri?
Mbona hata Wewe hapo Ofisini Kwako ndiyo Kinara wa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa Boss zako huku ukiwa ndiyo mpiga Majungu Mwandamizi, Mfitini hadi Unawaroga Wenzako ili upendwe Wewe na Mabosi? Nahisi ulitamani kweli kweli uwe Mwanamke ili usiishie tu Kujipendekeza Kwao bali Uwapanulie kabisa ili usikilizwe Wewe.
 
Tunaongoza Kundi letu huko CAF CL kwa Alama ( Points ) Saba ( 7 ) mbele ya Klabu Kubwa, Bora na Tajiri ya Al Ahly na Klabu Shindani hasa ya AS Vita Club huku Nyumbani Tanzania tukicheza Viporo vyetu Vinne ( 4 ) tu pia naongoza Ligi Kuu ( VPL ) kwa tofauti ya Alama ( Points ) Saba ( 7 ) mbele ya Timua Timua Makocha Benchi la Ufundi Mabondia FC ( Yanga SC )

Kama una Swali lingine niulize upesi tu.
 
Manara hana budi kujirekebisha, hana staha na ana mihemko kiasi kikubwa
Ila akina Bumbuli na Nugaz wao hawatakiwi Kujirekebisha, wana Staha, hawana pia Mihemko na wapo huru Kumchafua Haji Manara na Klabu ya Simba SC watakavyo? Mnafiki mkubwa Wewe!!
 
Huyo msemaji wa serikali mipaka yake ni ipi , mbna kila sehemu anashadadia , mbna kila tukio la burudan yumo , Hana mambo mengine ya kufanya? ..... Mahindi yamezuiwa huko si akawasemee wanyonge ?? Mara utasikia wasanii waache Kiki, mara waache kucopy vionjo vya nyimbo za zaman..... Masuala ya michezo yumo , Okey fine ..kibaya Zaid anaropoka tuu bila kuainisha Sheria inasemaje , Bali anawakilisha maoni ya watu ya vijiweni yaliyomfikia , bila kujua kwamba kauli yake inabeba mambo mengi ikiwemo Sheria inayohusu Jambo husika , Bali yeye anaropoka tuuu Jambo ambalo hata lipo free kisheria ....Aaah huyu jamaa ni Msemaji wa serikali wa hovyo kuwahi kutokea.....
Kwani mkuu hujui kama huyu pia ni katibu mkuu habari utamaduni na michezo
 
Bilashaka huyu atakuwa ni manara mwenyewe kaja na fekelo lake hapa
 
Insha ndefu lakini umeisoma yote tu Pumbavu.
Mpumbavu ni nani?!!mimi au wewe usiyejua hata dr.Abas kwenye wizara ya habari ni nani?!!nimeisoma yote ili kutafuta ni kweli hujui ana cheo gani kingine?!!sio daaa, huruma!!siku zote mtu akishindwa kwenye hoja hukimbilia matusi!!
 
Ndiyo Mada iliyoko Mezani Kujadiliwa?
Mkuu, mimi ni shabiki wa huyo ndugu. Huwa, ninafurahia sana kusoma nahau, methali na maneno mengi ambayo huwa ni mapya kwangu, pamoja na VICHAMBO vya kutosha! Yaani, huwa napenda style ya uandishi wake. Ni wa ki pekee! Sasa, nikaona mnafanana kuandika. Sijajua, ni nani kati ya wewe na yeye (Genta) anayemuiga mwenzie uandishi!
 
Back
Top Bottom