Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbas acha Dharau na Punguza Chuki zako kwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara

WATANZANIA TUNAPENDA SANA KUPINGANA KWENYE KILA KITU, SASA TUMEACHANA NA SIASA ZA VYAMA TUMERUDI KWENYE SIASA ZA MPIRA.
HIVI MAMBO HAYAWEZI KWENDA BILA KUPINGANA PINGANA NA UGOMVI? YANI MTANZANIA AKIWA UPANDE FLANI AKIJUA MWENZIE YUPO UPANDE WA PILI BASI HUYO ANAKUA NI MBAYA TU KWENYE KILA ATAKACHOSEMA AU KUSHAURI.
 
Huyo Abbas, ni wivu wake tu! Hivi, hao wasemaji, wana athiri nini watu wengine? Hizo ni burudani tu. Watu wanapenda kusikia vimbwanga vya akina Masau, Manara, Kifaru nk. Hata vyombo mbali mbali vya habari, wanapenda kuwahoji wasemaji wa aina hiyo ili kuvutia watazamaji/wasikilizaji wao!
Hata msemaji wa CCM (Polepole) , kuna wakati aina ya maneno ayasemayo yanawakera wapinzani wake, lakini ndiyo siasa na burudani yenyewe. Asitupeleke kwenye hali ya MAJONZI wakati wote! Wamefungia magazeti kibao, sasa wanataka kugeuzia kisu huku!?
Kama ishu ni maneno basi kina mwijaku, baba levo wawe wasemaji....
Umeshawasikia wasemaji wa man u, barcelona, arsenal, wakitupiana maneno ya fitna kwenye twitter?
 
Huyo Abbas, ni wivu wake tu! Hivi, hao wasemaji, wana athiri nini watu wengine? Hizo ni burudani tu. Watu wanapenda kusikia vimbwanga vya akina Masau, Manara, Kifaru nk. Hata vyombo mbali mbali vya habari, wanapenda kuwahoji wasemaji wa aina hiyo ili kuvutia watazamaji/wasikilizaji wao!
Hata msemaji wa CCM (Polepole) , kuna wakati aina ya maneno ayasemayo yanawakera wapinzani wake, lakini ndiyo siasa na burudani yenyewe. Asitupeleke kwenye hali ya MAJONZI wakati wote! Wamefungia magazeti kibao, sasa wanataka kugeuzia kisu huku!?
Sikuwahi kudhani kuwa kumbe nawe una Akili ( Mwerevu ) hivi katika Mijadala hapa JF. Heko mno kwani umesema vyema na Kumaliza kila Kitu.
 
Manara afungiwe haraka sana, ni mpumbavu sana, hana chochote anachoandika zaidi ya kuichafua yanga, narudia tena, manara ni mpuuzi afungiwe
Wakimfungia tu Serikali ya CCM ijue kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 Kura zaidi ya Milioni 30+ za Wanasimba wote wamezikosa na zitahamia Upinzani na Wao Kuambulia tu Kura Million 15 za Wanayanga hivyo hatimaye CCM Kuangushwa na Upinzani kushika rasmi Dola Tanzania.
 
Barcelona na Man United nao huwa Wanaroga kama Yanga na Simba?
Ndio maana hawa yanga na simba wanafundwa. Kama wanataka waendelee waendeshe mambo kisayansi.
Hata Barca na Ma u wanao wapiga debe lukuki manazi hata waliowazidi hao wasemaji wa vilabu vyetu. Ila wapiga debe wa kule wapo kwenye 'fan clubs' zao ambazo hata twitani zipo.
Uongozi wa club ubaki kuendesha club kisayansi, si maneno lukuki, fitna na inshallah inshallah kila kukicha.
 
Absolutely Rubbish!!!!!!!!
 
Usiniletee Upumbavu wako tafadhali kwani sababu za Yeye Kumchukia nimeziweka hapo juu na tena Kuzifafanua vyema tu. Ukijijua kuwa hukubarikiwa Akili nyingi na Mwenyezi Mungu nakushauri usiwe Unathubutu hata Kufungua Threads zangu All - Rounder sawa?

Mbona povu sanaaa
 
Mtoa mada hata mimi nilishangaa sana anavyowaita wenzake wasemaji wadogo wakati yeye ikiwekwa top 5 ya wasemaji maarufu nchi hii bila kujali wanatokea taasisi gani, nadhani yeye anaweza kushika mkia au asiwemo.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom