Ndio hapo tunapenda Sana kuongeza wanachama lkn kwa hili imekula kwake lzm wampige noKesi haijaisha, sa si ndo atafungwa.
Kwahio wemaa mnamsafisha kuwa havuti bangi. Nyie bana hata shetani akitangaza hadharani kuwaunga mkono mtamsafisha kuwa Mungu alikosea kumfukuza peponi...Kuna uzi uliwekwa humu kuchanganua uaminifu wa Mkemia mkuu wa serikali ya Tanzania , kwa ufupi ni kwamba haaminiki na yeyote .
Je! Ukishashutumiwa tu kuwa wewe ni muovu basi ndivyo inavyokuwa? Mmethibitisha juu ya tuhuma hizo? Ila sikushangai, unawezakuwa mmoja wa wale wanaoua kwa kuwachoma Moto watuhumiwa wa makosa mbalimbali huko mitaani hata bila ya kuwa na uhakika WA tuhuma! Kwa akili hizi wewe ni muuaji! Period!Maovu yapingwe kwa gharama yoyote haya tutaona nyie mnaounga mkono uovu mtafika wapi
Naona unafurahi tuu hujui kuwa jina lako lipo ktk orodha ya wauza ngada?- Masikini ya Mungu chama kinajimaliza pole pole maana sasa ni Official kuwa Chama cha Muungano wa Watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya, saafi sana ngoja zije kampeni tuanze kazi this is the best weapon ever!!
le Mutuz
Mimi ni mwanaCCM mpenda ukweli....Swala so ukabila, swala ni kwamba, ccm wakimtupa mtu kuwa;-
Huyu fisadi nyie ndiye mnamtaka.
Huyu muuza madawa!! nyie. njoo!!! tunakuhitaji
Huyu mshoga nyie ndio kwanza, karibuu!!!
Watanzania oneni alama za nyakati mapema.
Mimi nilishaweka wazi kabisa kwamba adui yangu namba 1 ni ccm , shetani ni namba 2 , uchunguzi unaonyesha kwamba unyama unaofanywa na ccm , ule wa shetani una nafuu .Kwahio wemaa mnamsafisha kuwa havuti bangi. Nyie bana hata shetani akitangaza hadharani kuwaunga mkono mtamsafisha kuwa Mungu alikosea kumfukuza peponi...
Umeandika kinyonge sana. Kulikoni?Tatizo wasanii wetu ni wapiga deal. Ngoja tuione hii movie inakoishia
chadema tokea wamempokea lowasa na mvuto kwa wananchi watz haupo tena. nyie endeleeni kuwajaza wahuni kwenye chama. Sisiem itaendelea kutawalA milele..kwa kuwa ccm yenyewe inafanya Kazi ya kukusanya waumini wapiga kura halisi na wenye mapenzi ya dhati wenye misimamo.Sasa ata akienda chadema...sidhani kama ama mchango wowote huyo...huyo ni liability kama alivo lowasa, sumaye na mgana msindai
Tuhuma zinathibitishwa na mahakama nashindwa kukuelewa unaposema tuthibitishe tuhuma wakati watuhumiwa wapo mahakamani mahali ambapo tuhuma zote zinathibitishwa.Je! Ukishashutumiwa tu kuwa wewe ni muovu basi ndivyo inavyokuwa? Mmethibitisha juu ya tuhuma hizo? Ila sikushangai, unawezakuwa mmoja wa wale wanaoua kwa kuwachoma Moto watuhumiwa wa makosa mbalimbali huko mitaani hata bila ya kuwa na uhakika WA tuhuma! Kwa akili hizi wewe ni muuaji! Period!
Si mlisema hampokei tena makapi kutoka ccm?Umeyakumbuka ya dada yake Sumari?Huyu wema tumpokee ila tuwe naye makini sana.Maana huwa njaa zinawasumbua mno.Akivutiwa za mbonga anahama na kuongea shit.so aweke kwenye uangalizi maalumu kwanza.
CUFMlikua mnaambiwa ccm ina wenyewe mkawa mnabisha,karibu chama cha wanachi