Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Hii Nchi ishi wewe kama wewe machama chama haya unapoteza mda tu.
 
CHADEMA...kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu...
Bado chama hakijazungumza mpaka saa hizi? Tunasubiri.
 
Nilidhani utaniambia kwamba waole watuhumiwa waliko ndani ya CCM wamevuliwa uanachama mkuu maana lengo ni kuto kuwa na watuhumiapwa chamani. Lakin tambua mtuhumiwa si mkosaji hadi hapo itakapo thibitika kimahakama hivyo bado anahaki ya kuhama na kupokelewa pia.
Nakubaliana nawe. Nao pia wa CCM ni vizuri WAVULIWE uanachama. Hiyo ndo haki.
 
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
thank you for this useful post.
 
Haikupaswa iwe sasa. Inaleta ukakasi kidogo.
Mkuu sio ukakasi kdg, ukweli ni kwamba chadema ya sasa inazidi kupata taswira kwamba ni chama chakusomba watu wote walioshindikana kwenye jamii.....mbowe ni janga kwa ustawi wa upinzani tz!
 
[emoji445][emoji445]Kamatia chini kamatia Wema[emoji445][emoji445]

Wampe na ubunge kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

b9f49d13fd19c052f742fe4ab909b9ff.jpg
 
Kweli kwamwendo huu cdm tumepotea inamaana sasahivi upinzani nikuwatetea na kuwapokea watu wenyetuhuma.....cdm nilikupenda sana ila ufisadi umekupenda zaidi huyu mnae muita madam nakumkaribisha chamani kuna sound clip imezagaa mitandaoni ikithibitisha kwamba anatumia bangi na alikua anafuga mashoga nyumbani kwake sasa inakuaje leo tumpokee na kumtetea?...mpaka hapo rofa mimi najipunguza kwenye kundi la nyumbu
 
Unajua wema kafanya haraka sana,kama anataka kuwa mwanasiasa mzuri,asiwe bendera fuata upepo,wasichana vijana na hata watu wengi wakawaida walikuwa wanamidolize,sasa kinachotakiwa akubali kuacha awaombe radhi mashabiki wake sio kukimbilia chama cha wajivuni arudi ccm aachane na users saccos, wema ni mmoja wa wasanii warembo duniani,ana mvuto kwa vijana tusimpoteze malikia huyu.
kwahyo akird ccm ndo ata-mantain populality yake???
wrong idea..yupo sehemu sahihi na salama pia kwa ustawi wakee
 
Wema nae ni mtu wa kumuamini?? Kwel watanzani atujapata kuwa na upinzani wa serious..bangi huwa inaleta mawenge ata kamishina alizungumza na mbowe akitaka kujua akili za wema vizur amtafute idrisa au martin kadinda
 
Back
Top Bottom