Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Huyu Wema 2015 alizunguka nchi nzima akisema MAMA MKANYE MWANAO!!! Naona amekanyika kwanza yeye...

karibu tuisome wote
 
Jina lako linasadifu ulichokiandika!
Kwa hiyo umefurahi kumpokea shoga'ako huko?
Una kila sababu ya kufurahi kwasababu umefanana na huyo shoga'ako kitabia mpaka mawazo.
Hahahahaa jiangalie nyuma ulivyoharibika kwa kupenda Midume [emoji23][emoji23] + pesa za lumumba
 
Wema amemsindikiza Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh. Mbowe Mahakama kuu , kuhusu Kesi ya kuwashitaki Makonda Na Siro.




Huyu mrembo anasifa ya kufilisi watu wote anaokuwa nao karibu. Kwa hiyo mtarajie nuksi lingine very soon kwa mkt wenu. Study zinaonesha hivyo... Najua mtanifukuza kama nyuki Kuhusu hili ila mkijifanya kutafuta kiki kutokana na huu uozo tena mkimix na zee la deal za kifisadi... Basi mtakuwa mmejimaliza mapeeema
 
Dah hii nchi acha tu JPM awe mbogo, maana ujinga ujinga ndio habari zilizopewa kipaumbele. Inasikitisha na kuhuzunisha.
 
Wema ni Liability!!!!!.....anatega Lisu aanze kumtetea kwa Sheria!!!....maana Lisu kiumbe Adimu....ukiwa ng'ambo waweza toroka ukaja kuwa naye karibu
Una akili sana kaka umeona mbali kama mimi hapo nae anataka msaada wa hawa watu maana kaona kwanini wao ndio wanasumbua Tz kila siku na bado mapambano yao wanashida sasa kaona akiwa huku kwa kesi yake ya bangi atafanyiwa wepesi na kama unavyojua tena lissu mtu wa fitna za sheria
 
Wakuu

Tokea ishu ya wema sepetu kuonekana na viongozi wa chadema leo mahakamani nimeona vijana wa lumumba wamepanic kweli kweli

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwani kuna tatizo kwa wema kuchagua anachokipenda?

Mara oooh "wameondoka akina kingunge na lowassa sembuse wema?"

Looooh.... maneno haya yote yanatokea wapi? Mara ooh sijui chadema inapokea makapi na mafisadi

Kama ni mafisadi mbona hamwapeleki mahakamani?

[HASHTAG]#freeewemasepetu[/HASHTAG]

Kila mtu aangalie maisha yake
 
Kuna kilio kikubwa huko lumumba.wanakimbiwa kila cku
 
Kwani waliomuita MHESHIMIWA LUWASA fisadi walikuwa kina nani! ?kama Sio CHADEMA hao hao wanaokula matapishi yao wenyewe, ,,,,,,,... Uhuni tu kwenye siasa..
 
Kwani waliomuita MHESHIMIWA LUWASA fisadi walikuwa kina nani! ?kama Sio CHADEMA hao hao wanaokula matapishi yao wenyewe, ,,,,,,,... Uhuni tu kwenye siasa..
Mpelekeni mahakamani nyie
 
Kwani waliomuita MHESHIMIWA LUWASA fisadi walikuwa kina nani! ?kama Sio CHADEMA hao hao wanaokula matapishi yao wenyewe, ,,,,,,,... Uhuni tu kwenye siasa..
Pakacha kuvuja...
 
Back
Top Bottom