Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Le

Acha poroja leta ushahidi, kama una una ushahidi peleka mahakamani ikiwa bado kuna kesi inaendelea kuliko kuleta porojo hapa. Akiwa CCM anakuwa msafi akihama anakuwa mchafu. Muwe mnashirikisha ubongo kufikiri tafadhali.
Huna akili, ndio maana mnageuzwa kama chapati! Hukumbuki ya Lowasaa,?
 
Nina hasira ya kufa mtu na huyu Wema, kala hela zetu CCM sana, alafu anatuletea ukuda, na hasira sana, huwa si panic, na tutamfilisi muuza maku huyu
***
Acha kuaribu chama ndg / nyei ndiye msiyeifaa ccm eti tutamfilisi.....!
 
Ningetamani kuona comments za watu wa Kijani wakishangilia huyu Bi dada kwenda Ufipa sababu wanasema ni 'kapi' matokeo yake Magamba wanaponda sana na mapovu yanawatoka Bi. dada kuvaa Gwanda. Nimewaelewa Magamba vizuri sana kwa hili, poleni.
Watu wanasikitika kwamba hatuna chama mbadala wa ccm
 
HAYAAAA TEAM WEMA WOOOTEEE OLE WENU MPOST PICHA ZA CCM AU MAKONDA MNAKULA BLOCK LENU FASTAAA

TEAM WEMA: NDIO BOSS(NA TUNAANZISHA HASHTANG [HASHTAG]#vyuma[/HASHTAG] vimekaza#)

Hahahahaa kuna watu wanajua kupelekeahwa jaman aiseee
 
Chadema hujidharirisha sana,wale wote wenye mawaa wakigundulika CCM basi kimbilio lao ni Chadema,waliotajwa kuuza unga wamepata nyumba mpya,wasingetajwa wangebaki nyumba ya zamani.
 
Chadema hujidharirisha sana,wale wote wenye mawaa wakigundulika CCM basi kimbilio lao ni Chadema,waliotajwa kuuza unga wamepata nyumba mpya,wasingetajwa wangebaki nyumba ya zamani.
Daud bashite
 
Mimi sioni Tatizo MTU kuhama au kuhamia chama anacho kitaka..kama wakristo wanaamini kua ikiwa kondoo mmoja aliye potea akaludi zizini basi ni heri mara dufu..
Mtaji wa chama chochote ni watu
Jua kwamba hakuna mikutano kasoro chama dora ambapo hapo ndio rahisi kuwa convice civil ku join kwenye chama chako
Sasa kwani yeye ni shetan ambaye dhambi zake za kukipigia debe fisiem asi samehewe?
Jua kua pole pole anafanya siasa,mwekit wao vile vile lkn Ukawa ni malufuku kasoro Propesa pumba
Sioni tatizo by theway ni celebrity anawafuasi wengi nyuma yake
kuhusu mwanasheria jua kabisa wema no motto wa Hom..
 
Je ni chama gani kinachowakumbatia mafisadi na wauza ulevi? Na hii inamaana chama chenyewe ni cha MAFISADI na wauza UNGA HARAMU. Watanzania kuweni macho. Na kikiwa na madaraka hata jinsia moja wataipokea tu.
 
Chadema hujidharirisha sana,wale wote wenye mawaa wakigundulika CCM basi kimbilio lao ni Chadema,waliotajwa kuuza unga wamepata nyumba mpya,wasingetajwa wangebaki nyumba ya zamani.
Mtabaki na ukabila wenu huko ccm wote watawakimbia
 
Hata gerezani wako wafungwa wanachama wa CCM na CHADEMA Wema ni mtanzania wa kawaida ana haki ya kijiunga na chama chochote cha siasa akijisikia leo niko CHADEMA kesho TLP hamna anaye mzuia na siyo big deal kama mnavyotaka kufanya. Walikuwepo watu CCM waka hama na pia walikuwepo watu CHADEMA wakahama lakini CCM imebaki kuwa CCM na CHADEMA imebaki kuwa CHADEMA

Kama umenielewa vizuri,sioni shida Wema kujiunga na CDM,angeweza hata kujiunga CUF,au asijiunge na Chama Chochote.Hivyo si CCM wala CDM wenye haki miliki ya RAIA
 
Mtabaki na ukabila wenu huko ccm wote watawakimbia
Swala so ukabila, swala ni kwamba, ccm wakimtupa mtu kuwa;-
Huyu fisadi nyie ndiye mnamtaka.
Huyu muuza madawa!! nyie. njoo!!! tunakuhitaji
Huyu mshoga nyie ndio kwanza, karibuu!!!
Watanzania oneni alama za nyakati mapema.
 
Wema anakuja na wabunge 90 wa ccm tulieni.
 
Back
Top Bottom