Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Hapo napata picha kuwa chadema ndo stoo ya uchafu.... Kama ni nyumba basi chadema ni choo..
 
Pole sana Wema! Siasa ndio zilivyo! Aliepo hana undugu wala simile! Kipindi kigumu hilki!!!
 
Nafikir anajiunga sio SBB ya mahaba kwa chama, Bali tatizo alilopata ambalo anahisi CDM watamsaidia. Hofu iliyopo ni kwamba siku ingine akiona opportunity kwa chama kingine tutasoma habarr kama hii tena
 
Acheni ujinga, kwani Wema ni nani CCM? ana nafasi gani CCM? mm namjua kama muuza nyapu tu, CCM tumesimama na hatutishwi na wauza maku mjini, na Mh. Rais JPM komaa hadi mwisho tuwamalize wauza unga, shame on you mnaotetea wauza unga...

I wish all drug lords to be jailed ( wafungwe maisha)
 
Wonderful Tz, naona kampeni zote za kwenye majukwaa kwa sasa imehamia kuwa ni makesi ana mahakamani kwa kwenda mbele, hii movie hatima yake duuuuuu, let's me watch out the series
 
Acheni ujinga, kwani Wema ni nani CCM? ana nafasi gani CCM? mm namjua kama muuza nyapu tu, CCM tumesimama na hatutushwi na wauza maku mjini, na Mh. Rais JPM komaa hadi mwisho tuwamalize wauza unga, shem on you mnaotetea wauza unga...
USITOKWE NA MAPOVU BRAZA, SLOWLY UTAELEWEKA PASIPO KUTUMIA MATUSI, JIHESHIMU NA MANENO YA KINYWA CHAKO
 
Chadema jam
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwunga. kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
chadema jamani mbona inajimaliza yenyewe? Hivi watasema ccm ndo wamewamaliza kweli!! Wakati wanakaribisha wauza unga? Naskia hata IDD azan na gwajima watajiunga soon. Hivi hiki chama kwa kweli mbona mmekuwa hivyo jamani. Sijategemea kabisa chadema kutetea uhalifu nchini
 
Acheni ujinga, kwani Wema ni nani CCM? ana nafasi gani CCM? mm namjua kama muuza nyapu tu, CCM tumesimama na hatutushwi na wauza maku mjini, na Mh. Rais JPM komaa hadi mwisho tuwamalize wauza unga, shem on you mnaotetea wauza unga...
Kwani unauhakika gani mkeo hauzi nyapu?acha toto zuri hilo.usipaniki!..
 
Kwani unauhakika gani mkeo hauzi nyapu?acha toto zuri hilo.usipaniki!..


Nina hasira ya kufa mtu na huyu Wema, kala hela zetu CCM sana, alafu anatuletea ukuda, na hasira sana, huwa si panic, na tutamfilisi muuza maku huyu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka kwadharaaaau anakujua Nani hadi ujambishe watu

Wafu tu wenyewe hawakujui sembuse jf Wema kaamua kujiunga cdm

Nimapendekezo yake dawa inahusika nini hapo umesikia kiongozi gani akimsafisha wema

Mwafaa. [emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaha... Hongeraaa, chadema ni kimbilio la watuhumiwa.

Chenge pia yuko njian anakuja huko
 
Asikurupuke na wala asifanye maamuzi ya jazba kisa ana kesi.Mtu mwenye msimamo ni yule anayesimama imara kwenye mtikisiko ,,,,, mbona wapo watu kibao wa nambari wani wanamtetea na wanampenda?
 
Heeeh!!kwa hiyo alitaka asishitakiwe kama anaonekana ana makandokando!?? kisa eti mwanaccm haya si ndo tulikuwa tunayapigia kelele kila siku wanachama wa ccm kutoshitakiwa hata wakiwa na makosa!??Leo hii tunamuita wema shujaa kahamia cdm kisa alishitakiwa na serikali ya ccm Du nani elieturoga!?
 
Back
Top Bottom