Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
Mkuu kwenye siasa unaishi leo, kesho ni maisha mengine. Pia siasa ni matangazo. Hiyo ni sehemu ya publicity. Hata kama akihama tena kesho, keshawafanyia publicity CDM.
 
Wema kujiunga chadema ni haki yake lakini haipaswi kuwa suala la kitaifa.likifanywa hivyo ni dhihaka
 
Mzee wa tupa tupa bwana, hivi chama kilichotawala nchi hii tokea uhuru kinaweza kuathiliwa na kuondoka kwa wema kweli.
 
tanzania nchi ya visasi,nchi ya kiki,masifa,ulimbukeni,chuki.mwaka huu wa pili sasa ni utumbuaji na uteuzi nothing new rather than nonses.naona ni nchi ya viwanda vya chuki na visasi tuu awamu hii.ngoja movie iendelee
 
Hata wakati wa Lowasa mlibweka Ccm kufa, nahisi majawabu mnayo.

Hivi wema nae asset?
Kwa ujinga huu ulioandika Kile kibabu kilichotoka misuli ya Kichwa kikisoma huo ujinga kitakuwa kinàchelea kimyakimya kuwa maBWEGE yanazaliwa kila Siku ..
 
Ingekuwa sawa kama angekaribishwa baada ya kesi yake kuisha na kushinda. Au ni kete nzuri ya kula kings za wabaya wao?
 
Wema kiasi watu watu wanambeza ila kiukweli.....utajiri wa Chama cha siasa ni Wanachama. Wema ana kundi(wafuasi) kubwa sana nyuma yake hasa wadada kuanzia miaka 17 mpaka 35...wengi wao watabadilishwa kisiasa.
 
- HAHAHAHAHAHAH hahahahahaha hicho chama huwa hakina washauri kabisa, seriously wameona Mwenyekiti anayetuhumiwa na mambo ya Madawa ya Kulevya kuwa na aliyekamtwa nayo ni good PR for National Politics? hahahahahahhaa God help me please!! Lord Have Mercy

le Mutuz
haa haa mkuu mbona hujatajwa? ama wewe ni awamu ya tatu?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti Wema aweza kutuathiri kichama na kisiasa...Huu utani kwa hiyo CCM waanze kumpigania wema ili abaki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nakubaliana na wewe kuwa amehamia chadema sababu watamlinda na kumpigania......Inaeleweka siku hizi Ukiwa fisadi,muuza madawa,mvuta bangi au jambazi hamia tu chadema watakupokea na kukusafisha.....
 
Huu uzi unavyokimbia, mpaka raha. Natamani mpaka kufikia jioni ya saa moja ziwe page 100 zimekamilika. Ila Wema nampendeaga kale kasauti ka kitoto, huwa nikikasikia... aaah we Wema wee!! Mbona utanifanya nimalize mapema aisee? Nakupenda mtoto wa Sepengaaaaaaa
 
Wema kafanya uamuzi mzuri lkn wanachadema wasimuamini sn kwa sasa coz hawa wasanii hawaamini leo yupo huku kesho kule ndyo maana wakaitwa wasanii... Wapo wa kuaminika kama Ney, Roma,Kala jeremaya na wengine wachache...... Wema tumpe mda kwanza
 
Back
Top Bottom