Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti Wema aweza kutuathiri kichama na kisiasa...Huu utani kwa hiyo CCM waanze kumpigania wema ili abaki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nakubaliana na wewe kuwa amehamia chadema sababu watamlinda na kumpigania......Inaeleweka siku hizi Ukiwa fisadi,muuza madawa,mvuta bangi au jambazi hamia tu chadema watakupokea na kukusafisha.....
mkuu kumbuka chama ni wanachama. pia sijawahi ona chama kikikataa wanachama wapya....
 
13346587_292546764422929_2987088698017245239_n.jpg
haa haa hivi mkuu kuna chama kinachokataa wanachama?
 
tukumbushe machadema walimpaga majina gani huyu maadam
Aisee ni mengi sana! Tena yote mabaya! By the way ndio shida ya kuwa na mwenyekiti div 0, hivi hakumbuki alihama aliyekuwa waziri mkuu na watu wakachukua nchi! Who's Wema! Kwa hiyo ulitaka waovu wote waliomo ccm wasifikishwe kwenye sheria! Ccm hailei maovu ! Na pia kwani hapo mahakamani ameshitakiwa na ccm au na chombo gani? Machadema wote ni bunch of criminals with their crook lawyer!
 
- hahahahahahaha mkuu punguza jazba cause ninaishi kwangu na maisha yangu ni safi ndio maana unaweza hata kuniongelea humu so relax, ongea siasa kama huna hoja kaa pembeni maisha yangu huyawezi nipo saafi sana ok hahahahaha

le Mutuz
Le mtunzi kiukweli nakukubali jamaaa yangu huna haraka na wajinga..
 
Kama nyie mnawatumia wasanii kama toilet paper haya sasa.
 
Back
Top Bottom