Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Kweli chama kinaelekea kaburini, soon kitakuwa kikundi cha HIPHOP just wait!!
Kweli chama kinaelekea kaburini, soon kitakuwa kikundi cha HIPHOP just wait!!
Nimecheka sana kuona hizo sahani za Ubwabwa.Yaani hiyo ndio utekelezaji wa Ilani wa Papo kwa Papo.
nawewe mbona cheti ulichosomea hukitumii au unategemea vasco da gama ataongezewa miaka mingine 2Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na FacebookView attachment 99314
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"
Watanzania tuwe makini la si hivyo bunge letu litakuwa sehemu ya kucheza disco,Mwenyekiti anamiliki kumbi za disco wafaasi wake waimba nyimbo za disco .......mmmh
Nakaaya alivyotoka CDM na kujiunga na CCM uliandika nini hapa JF? au huwa hamuweki kumbukumbu?Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.