Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

This way ccm watakosa watu wa kuwaimbia kwenye kampeni

Hatuwezi kukosa kwani CCM ni chama dume huwezi fananisha na chama cha familia Kama Chamdomo maana baba mchaga, mwenyekiti mchaga, mwenezi mchaga, kurugenzi zote wachaga,secretariat wachaga
 
Anakaribishwa sana lakini asisahau kwamba "CHADEMA" hatuangalii umaarufu wa mtu bali uwezo wake katika harakati za ukombozi!
 
Umejiunga CDM ili agombee ubunge? Akinyimwa nafasi hiyo atakimbia huyu. Wasaka matonge hatuwataki
 
Ndio maana sisi tumeamua kuwa na akina John Komba a.k.a Mzee wa Blueberry guest house Sinza ambae "hajafulia" kwenye muziki.
Umemsahau Ray C huyu naye sio teja tena Lol!. Shukrani kwa Ikulu na Mkulu wa kaya!.
CC Shelui Ritz [MENTION]mendieta[/MENTION] & co.
 
Last edited by a moderator:
hivi ndivyo alivyo funguka twitter na facebook

"shikamoo mbunge wa segerea bwana makongoro mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-segerea 2015 kupitia chadema"
View attachment 99314



huu ni mwanzo tunategemea wasanii wote makini watajiunga na chama cha ukombozi ambacho ni chadema
karibu kamanda uvae kombati , safi sana ,umechagua upande wa haki na ukweli tupu
 
Inashangaza sana huyu jamaa kajiunga jana Chadema anataka apewe nafasi ya ubunge, wakati kina Mohamedi Mtoi, kila siku wanatumika lakini hata kiongozi wa kata ajapewa huko Bumbuli.

CC; chama,
Nasikia akina Mwita maronya wanaogopa kuona hawa wasanii wanajazana kuomba ubunge, kesho nasikia kingwendu nae atajiunga na kutangaza kugombea ubunge kwa tiketi ya chadomo
 
karibu sana kijana mwenzangu komboa nchi yako achana na vitisho vya shetani
 
Karibu kamanda,najua umejiandaa vya kutosha kupambana mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom