atakimbilia wapi kwingine? CHADEMA peke yake ndio inaokoteza ilimradi jamaa aliwika miaka fulani.Amekimbilia huko kwa lengo la Kutaka Ubunge tu?
Hakika hiko chama ni majanga......lakini huyu kafukuzwa Radio Uhuru ambayo mmiliki wake ni CCM!
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Picha ya soggy please...
Angalieni Msigeuze chama cha bongo fleva.
Kisije pia kikawa chama cha mashoga maana hata Yule mbunge wao mmoja ni ubwabwa
Karibu Soggy
Kisije pia kikawa chama cha mashoga maana hata Yule mbunge wao mmoja ni ubwabwa
Kijana apokelewe kama wengine awe mwanachama habari ye kugombea tuwaachie wapiga kura. Nadhani kuhusu Makongoro ilikua ni kibwagizo tu kwani weredi, uzalendo na mapenzi kwa chama ndivyo vitatumika kuwapima watakaojitokeza kugombea kupitia chama
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Yupi ww ? Au anatoka jimbo gani ?
Angejiunga CCM unge comment namna hiyo?