BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Imekuuma?
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Sina kadi ya Chadema ila harakati zangu ni zaidi ya Mwanachama, hawa wanaoota Ubunge Sugu ndio anawaponza, hawajui tofauti kubwa kati yao na Sugu.Yani kuingia tu na kujitwalia jimbo!Huko Segerea wapo wengi kweli Matola
Cc mwigulu nchemba
Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Mkuu Elli inabidi tukupe jukumu ukamfanyie kazi yule mzee shauri ilii naye ajiunge na vijana.
Hahaha hana influance sitashangaa lakini ni aina ya chadema kuwa na viongozi kama kiina afande sele na sugu hahahha
Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na FacebookView attachment 99314
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"

Nina imani hukuitathimini kauli yako hii....maana hata mchumi namba moja ambaye mmempa unaibu katibu mkuu wa tawala naye alikuwa amefulia ?Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Na wewe bwana ritz unavotumika na ccm umepewa kata ipi au umeahidiwa kugombea wapi kwa kuwatumikaia hao ccm? Hebu tupashe!Inashangaza sana huyu jamaa kajiunga jana Chadema anataka apewe nafasi ya ubunge, wakati kina Mohamedi Mtoi, kila siku wanatumika lakini hata kiongozi wa kata ajapewa huko Bumbuli.
CC; chama,