Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Kwetu mtu anayecheka bila sababu ya msingi tunamchukulia ana vitu viwili

1 Uchizi unamuanza
2 Ana nyege

Sasa sijui ww upo kundi gani?
 
ukweli usemwe, ukabila ulikuwa unaota taratibu. unatakiwa ufe na mtu wa kabila lolote akitawala halafu akaendekeza ukabila watz tusiwachague tena hao watu.
 
Chato gang members utawajua tu
Mkuu sijaona why mnaleta ukabila kwenye maendeleo ya nchi hv tukianza in details nyinyi mna tatizo na watu wa kanda ya ziwa au nlikuwa na Matatizo na JPM tatizo wivu umewajaa na kama mkiendelea hv mjue tunapokwenda kama nchi ni pagumu sana tena sana je makabila madogo yamejiandaaa na kinachokuja

Maneno yenu hayawezi kuwatetemesha watu wa kanda ya ziwa hata kidogo kwani ni wachapa kazi si wavivu wanaosubr kuletewa.
 
asiyemsapoti mama atakuwa ni mchawi tu. kwa hotuba ya leo hii hatutegemei genge lolote liibuke. uzuri ni kwamba, wajingawajinga wa magenge tumeshawafahamu na hatutakuja kukubali kuwapa nchi watu wanaounda magenge tena.
Hakuna magenge tena tunajenga nyumba moja.
 
Waache,hawajui huku kwetu ni empire kubwa kuliko maelezo,kilicholeta ukanda na ukabila ni watu wa Chadema.

Tukiamua kuingia mazima kwenye kugombea madaraka hakuna rangi mtaacha ona.

Watubague tu na kututukana na wengi waonaotumia usemi huu wa kishenzi ni watu wa Kaskazini (CHAGA) na washirika wake

Wanadhani kitu hiki hakina madhara,kikimea kitaathiri sana vizazi vyao huko mbele,mzungu amegombanisha nchi kwa kujaza watu ujinga kama huu,leo tunaona waTanzania wako nje ya nchi wakitukana Ardhi yao waliyo zaliwa na mamlaka zilizoyokana na koo zao wenyewe,sababu ni ulafi wa madaraka na pesa
Acha kutisha watu we mchunga mbuzi, yaani nyie na wachaga ni mbingu na ardhi endeleeni kuchunga mbuzi kwanza
 
Kuna kipindi ilikua kawaida kukuta utani wa wasukuma mitandaoni mpaka Rais akatishia watu kufungwa.

Kuna mwaka ikawa ukimsema mtu kisa kavaa yeboyebo unapelekwa polisi.

Hii nchi ina historia nyingi za komedi.

Kuna kipindi ilisemwa ikatokea umemsema mtu aliyevaa nguo ya ccm jiandae kushughulikiwa.
Mkuu umenikumbusha miaka kama ya 2002-2006 ilikuaga mtu akivaa yebo yebo ni kutania hata kama haumjui watu wanacheka sana aisee hahaha
 
Ndio unamka Léo? Wenzako washaamka miaka 40 iliyopita sasa utajifananisha não? Akili zenu zipo level ya kupanda fisi tu

Yes tumeamka leo lakini tulichokifanya Kanda ya Ziwa kwa miaka 5 tu ni mara kumi ya mlichofanya miaka 40 iliyopita. Njoo Kanda ya Ziwa upate kushangaa kidogo, na bado kaeni kwa kutulia kabisa.Sisi akili yetu tunaitumia kujipatia kipato halali na “kupanda fisi basi”.Hatujawahi kubeba silaha kwenda kuvamia na kumwaga damu za watu ili tupate pesa kama nyinyi mliokubuhu katika kazi hiyo
 
Kila nikisoma comment yako ya kukataa mimi si Msukuma naangua kicheko Sikonge njoo uone hapa mtu hataki mimi niwe Msukuma.Kubali tu huo upuuzi mliotaka kuuleta hapa wa kunanga Wasukuma haukubaliki. Kwa taarifa yako nimekuwa Pro Chadema kwa muda mrefu sana tu,lakini huu ujinga wenu wa kujiona nyinyi ni wajuaji wa kila kitu na nyinyi ndiyo mnastahili kila kitu kuliko Makabila mengine ndiyo umenifanya niwaone kwa jicho tofauti kabisa nyie Pro-Chadema.

Mko tayari kumtumia yoyote kwa ajili ya manufaa yenu,hata Lisu mnamtumia kufikia agenda zenu. Why muweke chuki kiasi hiki na Wasukuma kisa JPM alikuwa Rais?

Itoshe tu kusema,tuheshimiane,tukosoane kwa maswala ya Kisiasa kwa tofauti zetu za Kisiasa,lakini mkileta za kujifanya nyie mnajua kila kitu,tutazinguana vizuri sana,Wasukuma watu poa but mkituzingua ,tutazinguana kweli,we are no longer a Sleeping Giant kama mlivyozoea kutuona

Bhebhe Nyanda lekaga shi ugitula ntwe ndamu,nene nde Sukuma zigizigi,uke wize Bariadi ulye ngoko na matobolwa
Mayaanda ga'mjini galuhile'noo
 
Back
Top Bottom