Sioni wakujitoa kafara kwa Lissu ,hayupo
Msajili anataka tu aonekane na yeye yupo. Hajasikika muda mrefu, ni hilo tu.Huyo anayesema wasipomchagua hatawaletea maendeleo wamemfanyaje?
Mzee alijiandaa kwa paper ya geometry akakuta paper yote ni Algebra, halafu waliokuzunguka wanafanya masomo mengine, wa mbele anafanya kiswahili, kulia historia, kushoto geografía, nyuma civics, msimamizi bubu, anatumia ishara tu. Utaishia kuandika jina na kukusanya au ujituingie swali la geometry na kujibu maana hakuna namna, utapigwa tu!!!!. Hivi mzee Pinda yuko wapi bajameni!!!
Hapo chumbani kwako ndio huoni.. ila tupo kama wote.Sioni wakujitoa kafara kwa Lissu ,hayupo
Magufuli apigweeeeeeeeeeeHuyo anayesema wasipomchagua hatawaletea maendeleo wamemfanyaje?
Mzee alijiandaa kwa paper ya geometry akakuta paper yote ni Algebra, halafu waliokuzunguka wanafanya masomo mengine, wa mbele anafanya kiswahili, kulia historia, kushoto geografía, nyuma civics, msimamizi bubu, anatumia ishara tu. Utaishia kuandika jina na kukusanya au ujituingie swali la geometry na kujibu maana hakuna namna, utapigwa tu!!!!. Hivi mzee Pinda yuko wapi bajameni!!!
Washabiki wa Lissu humu ni maneno tu,nani akajitoe kafara saccos?Sioni wakujitoa kafara kwa Lissu ,hayupo
CCM bila janja janja hamna kitu.Sioni wakujitoa kafara kwa Lissu ,hayupo
wanatumia akili au matopeHuyo anayesema wasipomchagua hatawaletea maendeleo wamemfanyaje?
We nae chenga tu..Onyesha ushahidi wa Lissu kusema asipochaguliwa ataingiza watu barabarani
chenga mwenyewe,onyeshaaa. Tatizo vijana mnatumika na hamtumii tena akili zenu. Alichosema Lissu akiibiwa kura ataingiza watu barabarani.We nae chenga tu..
Alichotakiwa kufanya Msajili ni kumhakikishia Lisu kwamba yeye Msajili wa vyama atawasiliana na Tume ya Uchaguzi avihakikishie vyama na ofisi yake kwamba Uchaguzi utakua huru na wa haki.Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kijieleze kwanini mgombea wao kila siku anasema safari hii hawatakubali kuibiwa kura na wakiibiwa wataingia barabarani, Msajili anasema matamshi hayo ni kutishia amani.
Majibu ya Lissu: Ni kweli uchaguzi huu tukiibiwa tutaingia barabarani, ‘ Nothing less nothing more’.