MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia Chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kijieleze haraka kwa nini kisichukuliwe hatua kali kutokana na kukiuka Katiba ya CHADEMA.
Msajili amefikia hatua hiyo baada ya viongozi Wakuu wa CHADEMA kuendelea kuwa viongozi wakati uongozi wao ulitakiwa ukome tarehe 14 Septemba 2019 kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA Ibara ya 6.6.3 inayochagizwa na Ibara ya 6.3.2(a) inayosema kila kiongozi wa CHADEMA atakaa madarakani kwa muda wa miaka 5.
Msajili amekitaka CHADEMA kitoe sababu zenye mashiko kwa nini kisichukulie hatua kali kwa mujibu wa kifungu cha 4(5) cha Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258.
Ninaambatanisha barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.
Zaidi,soma;

CHADEMA: Kamati Kuu ya Chama ilirekebisha Ratiba ya Uchaguzi, utakamilika mwezi Disemba 2019 kwa ngazi ya Taifa
Haya ndo majibu ya Chadema juu ya barua ya Msajili iliyosambaa mtandaoni.. ===== CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Kumekuwa na habari katika baadhi ya vyombo vya habari nchini kuhusu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukiandikia barua Chama...
www.jamiiforums.com