Vipi una mwonea wivu?Uteuzi ujao wa wakuu wa wilaya huyu hatakosekana.
Vipi una mwonea wivu?Uteuzi ujao wa wakuu wa wilaya huyu hatakosekana.
Halafu huyu Lemutuz mbona simsikii siku hzWakati mwingine unaona ni heri KazinaBata Le mutuz angekuwa ndio Naibu mwenezi tujue moja!
Nimekumbuka wale vijana wa chama cha Mgabe waliposema watadili na yeyote atakayemvunjia heshima Mugabe au kujaribu kumuondoa madarakan..lakini wajeda walipofanya yao hao hao vijana wakawa wa kwanza kuomba msamaha kutengua kauli yao ileHivi ikitokea leo hii bwana membe akidhurika je, huyu jamaa hawezi kuwa suspect namba moja? Kutokana na kauli yake kuwa vijana wa ccm watamvunjia membe heshima na hawatamvumilia?
Si mmchukue huyo Membe yaani mmesahau hata kama Mwenyekiti wenu Mbowe yuko ndani ananyea ndoo? Vipi leo mlijazana pale Kisutu kama Mnyika alivyowaambia au mmekimbilia huku JF kumtetea Membe?Mimi sio mwanasheria lakini nina ufahamu kidogo na katiba mama ya JMT sikumbuki kifungu gani lakini ni kipengele cha haki za binadamu kinasema "kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa" lakini kwenye katiba ya ccm ya 1977 haitamki huo utamaduni anaozungumzia huyu chizi lakini inatoa haki mwanachama kugombea. Hivyo kwa minajili hiyo Membe ana haki ya kugombea. Kutapatapa huku kunatthibitisha sifa anazopewa magufuri ni za kinafiki zinathibitisha wazi walio wengi ndani ya ccm hawamtaki tena na kama magufuri anapendwa (kuunga mkono juhudi) anaogopa nini? atulie tu ili wanachama wajadili juhudi zake wakiona anafaa wamruhusu aendelee
Nimeangalia nakusikiliza ujinga wa huyu jamaa nimeishia kuihurumia tu Nch yanguConfusing
Ukiufuatilia waya ulikotokea utamuoana muhusikaNinachoona hili ni Spika lingine huyu katumwa
Homa inapanda na pressure nayo inapanda bila kushuka apa kiharusi kina weza patikana !!Hii ndio Chain reaction tuliyokuwa tunaisubiri.
Hahahahaa dalili sio mbaya.
kamati ya matalumbeta na huku mwenye vuvuzela anapuliza
Ameajiriwa na Musiba!Halafu huyu Lemutuz mbona simsikii siku hz
Wewe huna? Pole!Maisha bhana yaani polepole aliyekuwa anasoma Benjamin Mkapa naye leo ana msaidizi !
Haaaaaa...Ameajiriwa na Musiba!
Ni kweli wewe ni chizi kuliko wote duniani.Nimeamini ule uzi wa Paskali Mayalla kuwa tanzania tuna machizi wengi sema hatujifahamu tu ndo nimehakikisha hapa
Mkuu tutaona 2020 kama kweli Membe ananguvu kumzidi Mh. MAGUFULI.Kumbe Nia ya Membe kugombea urais inamnyima Magifuli amani?? Basi Membe ana ngugu sama ndani ya ccm.