Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM


comrade wetu

comrade wetu

Senior Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
107
Likes
77
Points
45
comrade wetu

comrade wetu

Senior Member
Joined Nov 5, 2018
107 77 45
Haaaa huyu amepenyaje mpaka huko duuuh slim muda umeisha wataalamu wamekustukia wanaingia wenyewe
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,407
Likes
5,233
Points
280
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,407 5,233 280
Kwani Membe hana haki ya kugombea urais 2020?? Mbona wanaweweseka.
Anazungumzia kwenye chama chao. Kama anataka ajitoe CCM na atakuwa huru kama Lowassa.
 
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Messages
979
Likes
1,448
Points
180
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2017
979 1,448 180
Duuh, Kusaka tonge bila kufanya kazi ni shida sana, unaweza hata kujidhalilisha utu wako
 
james marco

james marco

Senior Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
146
Likes
86
Points
45
james marco

james marco

Senior Member
Joined Aug 2, 2017
146 86 45
Naon mmeanza kushughulikiana
 
H7N9

H7N9

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
311
Likes
51
Points
45
H7N9

H7N9

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
311 51 45
Huyo msaidizi wa polepole cjakuelewa alivyokuwa anataja wamachinga,mama ntilie na wanafunzi wa vyuo alikuwa anaongea nn? maana hata alivyowataja alikuwa anakusudia nini kwenye hiyo press yakishamba!nilitegemea aseme kuwa wanaunga mkono juhudi za jiwe kuwa anafanya kazi nzuri yaani ningetua pale lumumba
 
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
5,852
Likes
4,470
Points
280
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
5,852 4,470 280
Wasakatonge team bush watapata tabu sana mbuyu ukianguka
 
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
5,852
Likes
4,470
Points
280
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
5,852 4,470 280
Wanaccm wenzangu huu co wakati wa malumbano , tujenge chama kwa hoja za kujenga cokutishana,, embu tuzungumzie pension ya wastaafu ambao ci wanasiasa
Ishu ya 25% mafao ndio kaburi lenu 2020 ndio ajenda kuu watakayo itumia ccm b vs ukawa dhidi ya ccm makinikia
 
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
4,641
Likes
4,529
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
4,641 4,529 280
Sasa kugombea uraisi ni dhambi
 
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
5,852
Likes
4,470
Points
280
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
5,852 4,470 280
Ukitaka kujua mwenye speaker kanyaga Waya.Walidhani ukiua chadema upinzani utakwisha,upinzani ni nature ukiuuwa huku unaamia huku, upinzani wa ndani ni Mkubwa sana na ni hatari kuliko wa nje
 
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
5,852
Likes
4,470
Points
280
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
5,852 4,470 280
Msaka tonge kakaririshwa ajui hata ana press nini katiba yao iko wazi,kugombea si dhambi.
Huyo msaidizi wa polepole cjakuelewa alivyokuwa anataja wamachinga,mama ntilie na wanafunzi wa vyuo alikuwa anaongea nn? maana hata alivyowataja alikuwa anakusudia nini kwenye hiyo press yakishamba!nilitegemea aseme kuwa wanaunga mkono juhudi za jiwe kuwa anafanya kazi nzuri yaani ningetua pale lumumba
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
5,646
Likes
2,019
Points
280
Age
39
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
5,646 2,019 280
Du, huyu hiyo nafasi aliipataje?
 

Forum statistics

Threads 1,238,888
Members 476,226
Posts 29,335,672