Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM


T

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
2,754
Likes
3,262
Points
280
T

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
2,754 3,262 280
Tianeni Najisi, sababu ndio kazi yenu,
Mmenajisi kila kitu mpaka nchi haina maendeleo tena. Dhambi ya ubaguzi haijawahi acha mtu salama.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,914
Likes
65,668
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,914 65,668 280
Huyu nae katumwa tu!
 
I

ingipower

Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
66
Likes
28
Points
25
I

ingipower

Member
Joined Apr 3, 2012
66 28 25
Wanaccm wenzangu huu co wakati wa malumbano , tujenge chama kwa hoja za kujenga cokutishana,, embu tuzungumzie pension ya wastaafu ambao ci wanasiasa
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,865
Likes
50,208
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,865 50,208 280
Kweli ccm imenajisiwa na membe haifai kabisa mbele ya Mungu na watanzania
 
I

Idofi

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
1,641
Likes
889
Points
280
I

Idofi

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
1,641 889 280
imetiwa najisi ikaoge
 
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
9,566
Likes
8,973
Points
280
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
9,566 8,973 280
Huyu jamaa naye amepewa wadhifa aongelee chama, nikaachwa mimi, kweli wananchi wanayo haki ya kutukaa ccm..
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,293
Likes
30,677
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,293 30,677 280
Uteuzi ujao wa wakuu wa wilaya huyu hatakosekana.
We subiri mzee baba atakapo pata nafasi hata kama ni kuzindua choo cha stendi lazima kama ataona Kamera za TBC ataongelea hili na ndio hapo atakapo mwaga upupu wote na mtashangaa.
Mzee baba hana simile na wale wanaotumwa na mabeberu kuharibu kuunga mkono juhudi
 

Forum statistics

Threads 1,238,888
Members 476,226
Posts 29,335,723