Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM

Hivi ikitokea leo hii bwana membe akidhurika je, huyu jamaa hawezi kuwa suspect namba moja? Kutokana na kauli yake kuwa vijana wa ccm watamvunjia membe heshima na hawatamvumilia?
Nimekumbuka wale vijana wa chama cha Mgabe waliposema watadili na yeyote atakayemvunjia heshima Mugabe au kujaribu kumuondoa madarakan..lakini wajeda walipofanya yao hao hao vijana wakawa wa kwanza kuomba msamaha kutengua kauli yao ile
 
Mimi sio mwanasheria lakini nina ufahamu kidogo na katiba mama ya JMT sikumbuki kifungu gani lakini ni kipengele cha haki za binadamu kinasema "kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa" lakini kwenye katiba ya ccm ya 1977 haitamki huo utamaduni anaozungumzia huyu chizi lakini inatoa haki mwanachama kugombea. Hivyo kwa minajili hiyo Membe ana haki ya kugombea. Kutapatapa huku kunatthibitisha sifa anazopewa magufuri ni za kinafiki zinathibitisha wazi walio wengi ndani ya ccm hawamtaki tena na kama magufuri anapendwa (kuunga mkono juhudi) anaogopa nini? atulie tu ili wanachama wajadili juhudi zake wakiona anafaa wamruhusu aendelee
Si mmchukue huyo Membe yaani mmesahau hata kama Mwenyekiti wenu Mbowe yuko ndani ananyea ndoo? Vipi leo mlijazana pale Kisutu kama Mnyika alivyowaambia au mmekimbilia huku JF kumtetea Membe?
 
Hii ndio Chain reaction tuliyokuwa tunaisubiri.
Hahahahaa dalili sio mbaya.
Homa inapanda na pressure nayo inapanda bila kushuka apa kiharusi kina weza patikana !!
Kuna Kadawa ibabidi kaongezwe 0•5mml
#kazinabata
 
Hivi huyu jamaa kuna mtu kwamwelewa kweli au Dish langu limeyumba eti kaongea na wafanyabishara kaongea na mama lishe
Et wanafunzi wa vyuo!
Kama hawa ndio viongozi wa chama basi nchi imekwisha!!!
Sidhani kama jana alijuwa ataongea haya maneno leo yani kama mtu anaye ota au aliye lewa gongo!
 
Huyo msaidizi wa Polepole sauti yake yaonyesha wazi sio mtanzania Uhamiaji mtafuteni mumuhoji uraia
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom