Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM

Nilikua na nachukulia hii issue ni utani tu, kumbe serious kiasi hiki?

Ha ha ha haaaa... Amezungumza na machinga, mamantilie, wanavyuo, mamlaka ya takwimu imemruhusu?

Hapa ndo sasa nagundua kweli "Nape na January " walifanya kazi kubwa sana.
 
Hivi hawa watu huwa wanapata wapi haya maneno mazuri ya kutusemea kwa niaba? Ila BM ajiandae, sidhani kama ana seat Lumbs.....
 
"hata kama kwa kuvunja sheria" tuungane kuwapiga vita wale wote wenye uchu wa madaraka, ha ha ha ha haaaaaaa..... Sasa na wewe si unauchu..
 
Mara CHUMA CHA PUA, mara ANAKOSESHWA AMANI. Huyu jamaa haitaji vipimo, ni moja kwa moja wodini.

Yaani imefikia sehemu KURA zimekuwa threat kwa vyuma vya pua :D:D:D
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom