Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM

Wanaccm wenzangu huu co wakati wa malumbano , tujenge chama kwa hoja za kujenga cokutishana,, embu tuzungumzie pension ya wastaafu ambao ci wanasiasa

CCM ile ya enzi za Nyerere yenye wanasiasa makini sio hii ya leo mkuu, hii ya sasa ni "Chichi Em" Si umemsikia huyu msemaji, yaani ndio msaidizi wa katibu mwenezi wa chama,,hawezi hata kujenga hoja.
 
Mimi sio mwanasheria lakini nina ufahamu kidogo na katiba mama ya JMT sikumbuki kifungu gani lakini ni kipengele cha haki za binadamu kinasema "kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa" lakini kwenye katiba ya ccm ya 1977 haitamki huo utamaduni anaozungumzia huyu chizi lakini inatoa haki mwanachama kugombea. Hivyo kwa minajili hiyo Membe ana haki ya kugombea. Kutapatapa huku kunatthibitisha sifa anazopewa magufuri ni za kinafiki zinathibitisha wazi walio wengi ndani ya ccm hawamtaki tena na kama magufuri anapendwa (kuunga mkono juhudi) anaogopa nini? atulie tu ili wanachama wajadili juhudi zake wakiona anafaa wamruhusu aendelee
 
Kama kwa trela tu wanaweweseka hivi, chama lenyewe liitwalo USAWA likiwasili itakuwaje?
 
Msemaji uliyejipachika usemaji katafute kazi ufanye! Wenye kuujua mchezo wanakucheka mno huku nje ya geti! Ikikupendeza rudi darasani japo najua walimu wako watapata shida kukufundisha! Hapo hakuna cha uvccm, uwt wala wazee watakuelewa kwani hakuna walilolipata kutoka kwenu.
 
Hivi ikitokea leo hii bwana membe akidhurika je, huyu jamaa hawezi kuwa suspect namba moja? Kutokana na kauli yake kuwa vijana wa ccm watamvunjia membe heshima na hawatamvumilia?
 
Hivi Membe ametangaza nia ya kugombea Urais kwani?? Inaonekana Lumumba inamuamini sana Musiba maana taarifa hizi zilianzia kwa Musiba, Vipi Kinana naye afanye hivyo hivyo??
 
Matamko:
"Nitasema hata kama ni kwa kuvunja sheria" "asiyefuata utaratibu ashughulikiwe bila utaratibu" "sipo hapa kwa niaba ya chama, najisemea mwenyewe"
"Aje aseme kama tetesi ni za kweli" aje tushauriane kuhusu korosho"
"kuitwa na katibu mkuu ni utartibu wa kawaida" sina account za mitandao ya jamii"
Tamko la Mhusuka:
"namuheshimu, nitamuona. Pengine ni mgeni kazini."
 
Back
Top Bottom