Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Kwa roho hii we lazima utakuwa member wa al shabab!
 
Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Wewe jamaa.......
 
Bora hats alivokufa, manake angebaki hair wangeenda hadi kupekua simu yake waone kama hajatumwa na wanasiasa
 
ukisoma comments za wabongo humu utagundua ni watu wakatili sana hao wasomari wanasubiri...
 
1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
Pole kwa ndugu na jamaa.
 
RIP ILA MIMI NILIKUWEKUWEPO HAPO DODOMA KWENYE TUKIO INAONEKANA ALIYE GONGWA ALIKUWA NA UPUNGUFU WA AKILI ALI KOSWA KOSWA GARI MBILI ZA MWISHIO YA TATU NDO IKAMUMALIZIA MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEMA PEPONI
 
Back
Top Bottom