myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
He!
ndiyo!Upo dar?
km ni high tendency of government motorcade kama Dodoma mtu atagongwaje mm biashara zangu ni hapo mtendeni haipiti mita 5 mpaka kwa Fortis au CCM makao makuuDar wao walipelekwa chuo kusomea course ya kukabiliana na misafara ya viongozi? Kwa taarifa yako hakuna mkoa wenye high tendency of government motorcade kama Dodoma
Ulichokiandika hebu rudia tena usomeHuenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Hakujua kama kuna msafara au na yeye ni miongoni mwa wana usalama?Muda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.
Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.
Ni mtu mzima...!!!Hakujua kama kuna msafara au na yeye ni miongoni mwa wana usalama?
Siasa iko wapi hapo?Msiba wetu sote kwanini unaweka siasa? Rip marehemu
We ulisha semaSiku akigongwa ndugu yako usisahau kuja kusema ' ajali ni kawaida'
DuhHuenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Kwahyo hii habari ni ya kweli..???Watu wanaogopa uchochezi
Kafara hiyo! kwa nini iwe leo? kwa nini iwe mbele ya jengo la ccm makao makuu?1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
Kafara ya Bashite... Dady is comingKafara hiyo! kwa nini iwe leo? kwa nini iwe mbele ya jengo la ccm makao makuu?
May be ni COINCIDENCE tu...!!! Tusiamini sn hiloKafara hiyo! kwa nini iwe leo? kwa nini iwe mbele ya jengo la ccm makao makuu?
Nani tena huyo kapandikiza chuki?Msipandikize chuki kwa ajili ya mpuuzi mmoja asiyejua maana ya msafara wa kiongozi!...wangegongwa hata wawili ingekua mada tofauti!
Siamini kama hayo maneno yametamkwa na mtu asiyeweza hata kumnyonyoa kuku. Ni maneno yamtokayo mtu awezaye kumchinja mwanawe! Anyway, labda ulijisahau tuNdiyo mkuu, hata kumyonyoa kuku aliyekwisha chinjwa siwezi. Moyo wangu una huruma sana...
Nina roho nyepesi sana kiasi kwamba hata siwezi kuchinja kuku... Fact is a fact. Kuingilia msafara wa Rais ni kitendo cha hatari. Uzuri ni kwamba msafara haupiti kimya kimya, kuna ving'ora na kila aina za purukushani. Ni bora mtu akingongwa na Bajaj utaelewa kuwa labda hakuisikia, ila gari za msafara! Huo ni uzembe wa hali ya juu!