Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Matunda ya makao makuu. Msafara kaa nao mbali
 
RIP ILA MIMI NILIKUWEKUWEPO HAPO DODOMA KWENYE TUKIO INAONEKANA ALIYE GONGWA ALIKUWA NA UPUNGUFU WA AKILI ALI KOSWA KOSWA GARI MBILI ZA MWISHIO YA TATU NDO IKAMUMALIZIA MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEMA PEPONI
hii nayo ni mapungufu kwenye walinzi wa msafara; je jamaa asingekuwa chizi ; labda angekuwa mwenye nia ovu? Jamaa wa ulinzi wa viongozi wasiishie kuvaa suti tu walitakiwa wamwone mapema na kumtoa barabarani
 
Hv wale wanaozuiga msafara wa raisi hua wanasubiriaga kwenye matuta ambako speed ndogo au
 
NICHUMU NIBEBIKE wewe nimfano hai ya watu wenye roho mbaya zaid na akili fupi zaid jf, nasema jf sababu sina uhakika kama um tz.
 
Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Humu JF kuna robot ngapi? RIP Mpitanjia
 
Back
Top Bottom