Muda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.
Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.
Msiba wetu sote kwanini unaweka siasa? Rip marehemu
Upo dar?Ndiyo mkuu, hata kumyonyoa kuku aliyekwisha chinjwa siwezi. Moyo wangu una huruma sana...
Msipandikize chuki kwa ajili ya mpuuzi mmoja asiyejua maana ya msafara wa kiongozi!...wangegongwa hata wawili ingekua mada tofauti!Hata Mwinyi alisimama. Huyu wa sasa ni ..........
Ila kumbuka njiani kuna vichaa watoto walemavu nk ambao hawajui sheria hiyo so drivers always take careSheria ya msafara wa rais au makamu au Pm huwa anaegongwa ndie anahesabika amegonga hivyo angekua hai huyo mtu angeshatakiwa yeye.....
Mkuu na majibu yako ni hatari, kama sikufananishi nahisi kama ndo wewe ulimwona yesuHuenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Nimeshangaa sana mkuu,kweli binadam tuko tofauti. .ukatili umemjaaDah umenishangaza kweli wewe ni KATILI. Huna moyo wa kibinadamu.
Mkuu unaongea tu wewe,hujui marehem alikuwa kwenye hali gani,usipende kuhukum kama hvyo aisee...sio poa mkuu...Marehemu kajitakia kifo, kawaida msafara wa Rais hauendi kienyeji, lazima kuwa na tahadhari ikiwa ni pamoja na kuzuia vyombo vingine vya moto na hata watumiaji wengine w barabara... marehemu hakuobey hayo yote.
Acha tu mkuuSiamini hii ni kauli ya kiumbe mwenye roho na nyama! Labda jini ndilo haliwezi kuguswa na tukio la kifo cha mtu!
acha porojo watu wameingilia misafara mara kibao na tuko nao uraiani huku. ei kila unaamua kwa sheria vingine ni akili na busara.Usiniwekee maneno mdomoni! Huo ndio matazamo wangu. Nenda kasome sheria za traffic act uone. Huyu marehemu angepona angeweza kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kuingilia msafara.
Mengine ni utotoMarehemu kajitakia kifo, kawaida msafara wa Rais hauendi kienyeji, lazima kuwa na tahadhari ikiwa ni pamoja na kuzuia vyombo vingine vya moto na hata watumiaji wengine w barabara... marehemu hakuobey hayo yote.
Weka pichaMuda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.
Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.