tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,423
Hayo mambo yalizoeleka dar ...huko dodoma walikoforce kuhamia mbio mbio..bado watu hawajazoea hizo vitu...[emoji14]Kwani yeye ving'ora hakuvisikia au alikuwa kiziwi? Anyway RIP
R.I.P
Hayo mambo yalizoeleka dar ...huko dodoma walikoforce kuhamia mbio mbio..bado watu hawajazoea hizo vitu...[emoji14]Kwani yeye ving'ora hakuvisikia au alikuwa kiziwi? Anyway RIP
Dah umenishangaza kweli wewe ni KATILI. Huna moyo wa kibinadamu.
Siamini hii ni kauli ya kiumbe mwenye roho na nyama! Labda jini ndilo haliwezi kuguswa na tukio la kifo cha mtu!
NICHUMU NIBEBIKE wewe nimfano hai ya watu wenye roho mbaya zaid na akili fupi zaid jf, nasema jf sababu sina uhakika kama um tz.
Ni Sheria no ngapi iyo?Sheria ya msafara wa rais au makamu au Pm huwa anaegongwa ndie anahesabika amegonga hivyo angekua hai huyo mtu angeshatakiwa yeye.....
Usiniwekee maneno mdomoni! Huo ndio matazamo wangu. Nenda kasome sheria za traffic act uone. Huyu marehemu angepona angeweza kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kuingilia msafara.jf ina watu zaidi ya laki 1, ungeficha upumbavu wako maana wapo wenye michango ya maana na kila siku wanajiunga wapya.
acha kiherehere cha kuchangia upuuzi wako
Dar wao walipelekwa chuo kusomea course ya kukabiliana na misafara ya viongozi? Kwa taarifa yako hakuna mkoa wenye high tendency of government motorcade kama DodomaHayo mambo yalizoeleka dar ...huko dodoma walikoforce kuhamia mbio mbio..bado watu hawajazoea hizo vitu...[emoji14]
R.I.P
Nakumbuka kipindi cha jk ,ilitokea ajari mlandizi kama sijakosea,tena aligogwa na gari ambalo halihusiani na msafara,lakini msafara ulisimama na ambulance ya msafara ndio iliyombeba kumpeleka hospital.1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
Mwenge unahitaji mafuta ili uwakeMuda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.
Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.
Alikuwa ni mtu mzima..!!!Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Duh!! Kweli huwezi kuchinja hata kuku mkuu?!Nina roho nyepesi sana kiasi kwamba hata siwezi kuchinja kuku... Fact is a fact. Kuingilia msafara wa Rais ni kitendo cha hatari. Uzuri ni kwamba msafara haupiti kimya kimya, kuna ving'ora na kila aina za purukushani. Ni bora mtu akingongwa na Bajaj utaelewa kuwa labda hakuisikia, ila gari za msafara! Huo ni uzembe wa hali ya juu!
Ndiyo mkuu, hata kumyonyoa kuku aliyekwisha chinjwa siwezi. Moyo wangu una huruma sana...Duh!! Kweli huwezi kuchinja hata kuku mkuu?!
Hata Mwinyi alisimama. Huyu wa sasa ni ..........Nakumbuka kipindi cha jk ,ilitokea ajari mlandizi kama sijakosea,tena aligogwa na gari ambalo halihusiani na msafara,lakini msafara ulisimama na ambulance ya msafara ndio iliyombeba kumpeleka hospital.
Tatizo hawa jamaa wa sasa wanatembea na magari 20.wanajiona kama mi.....u......ng....u.
Siku ukigongwa ww utakuja hapa kueleza kama ni kiziwiKwani yeye ving'ora hakuvisikia au alikuwa kiziwi? Anyway RIP
DuhSheria ya msafara wa rais au makamu au Pm huwa anaegongwa ndie anahesabika amegonga hivyo angekua hai huyo mtu angeshatakiwa yeye.....
Ni kweli kabisa,IPO cku atagongwa Mke wake au MTT wake kisha aje atuambie hapa kuwa akitaka kudhuru msafara,mapenzi mengine bana,ajali hutokea Kwa yyt na popote,Dah umenishangaza kweli wewe ni KATILI. Huna moyo wa kibinadamu.
Jamani wakati wa misafara. Ving'ora vile marehemu hata hakusikia. Protocol zilivyo hata kama upo kwenye gari au pikipiki ukiingilia msafara unawekwa kando tu na msafara unaendelea1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
Pale ni mjini jmn,pengine marehemu ndo kwanza kashushwa stendi akitokea kijijini na hapo akikuwa ktk harakati za kuwahi kuvuka akielekea Kwa ndugu yake,maskini pengine hajui hata km kuna msafara Wa raisi unapita,mm na ww hatuwezi kufanya hicho kitu lkn hatuwez jua nae alikuwa na mawazo gani wakati anavuka,. .apumzike Kwa amaniMarehemu kajitakia kifo, kawaida msafara wa Rais hauendi kienyeji, lazima kuwa na tahadhari ikiwa ni pamoja na kuzuia vyombo vingine vya moto na hata watumiaji wengine w barabara... marehemu hakuobey hayo yote.