Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Muda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.

Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.
labda ndo hile kujaribu kumsimamisha raisi watoe kelo zao.maana hakipita si ana simamishwa
 
Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
Siamini hii ni kauli ya kiumbe mwenye roho na nyama! Labda jini ndilo haliwezi kuguswa na tukio la kifo cha mtu!
 
Aisee kuna ndg zangu wengi sana wanatumia mitaa hiyo kuvuka...wasije wakawa hao.
Najua kwasasa Dom kutakuwa na haya matukio mengi maana hawakuzoea sana hayo mambo. Kwahiyo wanafanya kushangaa hadi pale watakapozoea ndpo kutapungua ajari
RIP wafiwa, ngoja tufuatilie kwa ukaribu
 
Habari tata hii bado haijajitosheleza, hata source hakuna!! ‍♂️‍♂️
 
Kamwe usij danganywa ukazuie msafara wa rais, hata Kama mpo watu Mia watawagonga na kusepa
 
Marehemu kajitakia kifo, kawaida msafara wa Rais hauendi kienyeji, lazima kuwa na tahadhari ikiwa ni pamoja na kuzuia vyombo vingine vya moto na hata watumiaji wengine w barabara... marehemu hakuobey hayo yote.
Anaweza kuwa mfuasi wa chama kile,kwani wao ndio hujiona mashujaa kupinga kila agizo la serekali. Na huwa ni majasiri wa kiwango cha lami wanapobishana na polisi
 
Kama kagongewa pale mbele ya CCM mkabala na Duka la samaki pembeni kwawapemba wanaouza misosi nyakati za jioni.........
Hapo kosa ni la marehem, sababu hapo kwenye hiyo barabara hakuna zebra zaidi ya zile za karibu na mataa
Hata angewekwa zebra awe anakula majani hapo barabarani, kwenye msafara wa Rais unaweza kuvuka kisa tu hilo eneo ni zebra crossing au ni kutokua makini tu?
 
Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!
jf ina watu zaidi ya laki 1, ungeficha upumbavu wako maana wapo wenye michango ya maana na kila siku wanajiunga wapya.

acha kiherehere cha kuchangia upuuzi wako
 
Muda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.

Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.
Kama sio kafara basi ni gundu
 
Back
Top Bottom