Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.
Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga.
Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.