Msafara wa Makonda wapata ajali

Msafara wa Makonda wapata ajali

Huyu Makonda Hana budi kujilinda Sana..
 
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.

Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.

======

View attachment 2900908
Makonda aongezewe ulinzi ikiwezekana Jeshi limlinde
 
Gari za CCM ama za Serikali kama za serikali nani alitoa ruhusa zifanye kazi za chama? Nchi ya kijinga hii.
 
Mwenyezi Mungu akupe ahuweni ya chuki na gubu dhidi ya wafanyayo wengine tena wasokuhusu...

Kwa Neema na Baraka za Mungu, akuondolee Roho ya ubinafsi na kujihesabia haki na kuhukumu wengine...

Akupe ahuweni ya mapema kabla hujaumia moyo zaidi kwa gubu...

Kwa niaba yake nasema Ameen

Nimeshangaa nikadhani kuna utaratibu mpya, Mungu kapata msemaji wake humu JF!
 
Huyo jamaa amejaa gundu tu, kaishia kuwasababishia watu maumivu na majeruhi kwa upunguani wake..
Huyu huwa hana anachofanikiwa

Jamani!

Sasa hapa mwenezi amesababishaje hii ajali?

Yeye ndio alikua dereva wa gari zote 13?

Kweli mwenye chuki na nyongo ni Sawa na kipofu kwenye soko la nguruwe.
 
Vumbi kwenye barabara hiyo ndio imesababisha ajali, Makonda alikuwa mbele hivyo gari yake haijapata ajali..!! Ingekuwa lami wala ajali isingekuwa ya magari mengi hivyo au isingetokea
 
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.

Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.

======
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.

Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.

View attachment 2900908
Mbona namba kama vile zenye kutumiwa na Freemasons?
11, 13,
1+1+1+3=
 
Hao madereva wamepata mafunzo kweli au wamepitishwa tu juu kwa juu? Madereva wote wa magari ya Serikali haswa wa viongozi hupaswa kupitia mafunzo maalum na baada ya kuyafuzu, hupewa ama hupangiwa nafasi husika au huwa chaguo la kwanza kwa ajili ya kuwaendesha viongozi. Ndo maana ya uwepo wa Chuo cha Usafirishaji/National Institute of Transport (NIT) ambacho hutoa madereva wenye sifa stahiki kwa ajili ya kuwaendesha viongozi ama magari ya Serikali na pia kuendesha katika misafara.
Suala hili la magari 13 kugongana yakiwa kwenye msafara ni la kutafakari kuhusu umakini na umahiri wa hao madereva waliokuwa wakiendesha magari hayo maana maswali yanayoibuka ni;
1. Madereva hao wamesomea na kufuzu mafunzo ya uendeshaji wa vyombo vya moto kwenye chuo cha NIT?
2. Kama hali ya barabara ilikuwa ni mbaya, madereva hao walishindwa kuendesha kwa umakini?
3. Kuna hatua zozote za kisheria zitakazochukuliwa dhidi ya hao madereva ama waliowasajili madereva hao au itakuwa tu ni funika kombe mwanaharamu apite?
 
Mpaka aseme Ben Saanane yuko wapi ndipo atapona , it is his turn next mdafara
 
Pumbafu kabisa wewe,yaani MTU anawindwa na USA kisa kuondoa haki ya Wanadamu kuishi alafu wewe unaleta bange zako?
Mareakani wangekuwa wanamuwinda wasinge mnyima visa, wangemwacha aingie kingi wamtengeneze... Kumnyima visa maana yake hawana shida nae

Na kama wana shida nae lakini wameona wamshughulikie huku huku Africa, mbona inachukua muda mrefu sana ilhali anazidi kupaa juu kisiasa ?
 
Hawa wanyonge ni akina nani?? Is it fair kumuita mwenzio mnyonge?
mnyonge ni mtu ambae unaweza kumfanyia uhabithi wowote na asifanye lolote...

ndio hao waliofurika kwenye mikutano yake wakisema wanadhulumiwa haki

unamfunga mtu miaka 10 kesi ya kubambika halafu unamwambia nakala ya hukumu yako sikupi; huwezi kukata rufaa... au wakikupa nakala muda wa rufaa ushapita... na huwafanyi lolote, na wakipita njiani na land cruiser lina kibao cha Jaji namba X unasimama kumpisha njia vile vile...

Ndo maana Makonda kawaambia huko mahakamani msende jamani, mnapoteza muda
 
Ndio waweke lami sasa sio Kila siku lami mnaweka barabara za mitaa makumbusho na goba wakati Kuna miji huku haijafikiwa.
 
Ndio waweke lami sasa sio Kila siku lami mnaweka barabara za mitaa makumbusho na goba wakati Kuna miji huku haijafikiwa.
 
Back
Top Bottom