Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,948
- 74,430
Kwa hiyo wanasafirisha lini?kamanda anakupigania hujui tuh ndugu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wanasafirisha lini?kamanda anakupigania hujui tuh ndugu
Kipindi kile cha mikiki ya Gas alikuwa kila dakika anaposti kupinga gas kuja Dar na akawa anasema wapo tayari kwa lolote. Jeshi lilipoanza shughuli akapotea jukwaani miezi kibao,aliporudi akatoa ushuhuda jinsi alivyonusurika kufa.Nimecheka kwa nguvu, Leo sijamuoana hapa jukwaani, au atakuwa amebatizwa na kuwa mkristo, hivyo Leo Yuko anatoa huduma?
Nagari yote ya nini kama ni kuwajali wanyonge? Hajali imewaumbua!Mascara wa ccm but gari ni STK, STL
Kumbe hamna gharama!Si yanakwenda tu TEMESA
Huku ni kufanya mchezo na fedha za umma! Nchi hii haina uwajibikaji!Serikali ya Chama .
Poleni majeruhi, Mungu awaponye na kuwakinga na umauti.Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
======
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
View attachment 2900908
Duuuuu hakuna aliyekufa?Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
======
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
View attachment 2900908
Pumbafu kabisa wewe,yaani MTU anawindwa na USA kisa kuondoa haki ya Wanadamu kuishi alafu wewe unaleta bange zako?makonda hatochoka kuipigania nchi hasahasa kwa wanyonge na walalahoi wallah
Wakampigie simu Jiwe jinsi alivyo nasa pale RuangwaWatu wa kusini, huwa hawatakagi ujinga. Yaani ajali inayohusu magari 13??ni ajali fikirishi.
Dalili ya mvua ni mawingu na uzuri hata yeye analijua hiloKonda boy yeye kachomoka?
Lkn sikio la kufaWarning Warning Signs
Hakuna MTU aliyekufa kabisaa?Msafara wa Mwenezi wa CCM Komredi Makonda umepata.ajali akiwa njiani kuelekea DSM msibani kwa Waziri mkuu mstaafu
Jumla ya magari 13 yamegongana
Ajali imetokea huko suluhu Masasi mkoani Mtwara
====
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
Source: Azam Tv
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na MasikioniLkn sikio la kufa
Mungu ni kila kitu Kwa mwanadamuKusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Anatakiwa kuhojiwa polisi, mtu mmoja anaingizia taifa hasara na namna hii.CHADOMO kwa roho mbaya tu!! Yaan hamufurahishwi kabisa na kazi yake Duh!😔
Mungu daima usikia kilio cha waliowengiDua za wengi huku kusini ni kwamba ahmad katani awe na mwisho mbaya sana
Watakufa tu maana hakuna atakaye ishi milelePoleni majeruhi, Mungu awaponye na kuwakinga na umauti.