Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 744
- 1,520
Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba,
Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar
Huyu bwana ukimweka kwenye kundi la walafi wa madaraka na matumizi mabaya ya madaraka ni namba moja kwa Tanzania hivi sasa
Kwanini mnamhusisha na Uwaziri mkuu, huyu bwana hafai hata kuwa waziri kwenye wizara yoyote watu wataumia
Kabla na baada ya uchaguzi wa 2020 JPM mwenyewe alilijua hili na kama JPM angebahatika kumaliza mhura wake wa pili ndo kabisa tusingemsikia tena Paul Makonda kwenye siasa za Tanzania
Makonda alipochaguliwa kuwa Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, alifanya ziara karibu nchi nzima alikuwa akitoa amri na viyisho kama ndio Rais mwenyewe
Kubwa zaidi alinikuta mkoani Singida kikazi na hapo ndio nikafahamu kuwa kumbe alikuwa akiwataka wakurungezi wa halmashauri na manispaa wote kote alikopita wampatie Tsh mil. 10 kwa kitisho cha kuwa usipotoa hiyo pesa utafutwa kazi
Kwa mda huo kidogo tu aliodumu kama Katibu wa Itikadi na Uenezi watu walihaha mpaka Rais Samia kumtoa na kumhamisha kama RC Arusha
Huyu bwana hawafai na nina imani kubwa Rais Samia hawezi kurudia kufanya kosa tena