Msafara wa Makonda wapata ajali

Msafara wa Makonda wapata ajali

Narudia Usipende kumuhusisha Mungu kwenye mambo ya kijinga. Msafara wa magari 50 kwaajili ya Msemaji wa chama, huo ni ujinga uliopitiliza. Sasa makamu mwenyekiti au Katibu Mkuu atakuwa na msafara wa magari mangapi?. Watu wanafanya ujinga then unakimbilia kumtaja Mungu
Mwenyezi Mungu akupe ahuweni ya chuki na gubu dhidi ya wafanyayo wengine tena wasokuhusu...

Kwa Neema na Baraka za Mungu, akuondolee Roho ya ubinafsi na kujihesabia haki na kuhukumu wengine...

Akupe ahuweni ya mapema kabla hujaumia moyo zaidi kwa gubu...
 
Jibu zuri sana hili, ahsante sana kwa jibu kama hili.
 
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.

Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.

======

View attachment 2900908
Ila hii habari haijakamilika wala nini. Ilitakiwa ikamilike.
 
Back
Top Bottom