imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Haswa kwenye Barabara za vumbi hamuonani na mmoja akienda kati wanyuma mnajaa.tail driving ni uendeshaji hatari sana.
Haswa kwenye Barabara za vumbi hamuonani na mmoja akienda kati wanyuma mnajaa.tail driving ni uendeshaji hatari sana.
Huwa ninakereka sana na udereva wa pupa.Haswa kwenye Barabara za vumbi hamuonani na mmoja akienda kati wanyuma mnajaa.
Hatari sana!Huwa ninakereka sana na udereva wa pupa.
Mwendo wa gari unatakiwa uzingatie hali ya barabara, hali ya hewa na hadhi ya viongozi.
Hapo bila hata kuuliza; chanzo ni mwendo kasi na kuendesha kwa hatari (dangerous driving).
Kule Ngara leo kuna jamaa kapoteza maisha kwa sababu ya mwendo kasi.
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
======

View attachment 2900908
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Israili naye mlegevu sana siku hiziTaarifa haina mvuto kama Makonda hajafa.
Wale wote waliomnanga mzee Lowasa ambao hawajafa mwaka wao huu wajiandae. Nyamitako na BumundaHiyo ni salam,mwaka huu hatoboi
Safi sana wapuuziMsafara wa Mwenezi wa CCM Komredi Makonda umepata.ajali akiwa njiani kuelekea DSM msibani kwa Waziri mkuu mstaafu
Jumla ya magari 13 yamegongana
Ajali imetokea huko suluhu Masasi mkoani Mtwara
====
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
Source: Azam Tv
Wewe unamaendeleo gani huko kwenu?? Au huo utitili wa hayo magari ya walipakodi na kupumbaza watu ndio unaona wanapeleka maendeleo? Amka Ngosha na maneno ya kukariri wewe.Safari ya mwenezi wa chama, magari ya serekali yamo kwenye ajali! Huko kusini ndio dhalimu magu aliona Moshi mweupe, hadi anafariki akawa anakutana na mauzauza. Huko ushirikina ni wa kudumu ndio maana maendeleo ni mtihani.
Kwenye hii misafara haramu ya kuhadaa Wananchi Madereva wengi huwa wamelewa.Huwa ninakereka sana na udereva wa pupa.
Mwendo wa gari unatakiwa uzingatie hali ya barabara, hali ya hewa na hadhi ya viongozi.
Hapo bila hata kuuliza; chanzo ni mwendo kasi na kuendesha kwa hatari (dangerous driving).
Kule Ngara leo kuna jamaa kapoteza maisha kwa sababu ya mwendo kasi.
makonda hatochoka kuipigania nchi hasahasa kwa wanyonge na walalahoi wallah
Sisi ni wasukuma.Konda boy yeye kachomoka?
Wanajua kuna wajinga wataongezewa TOZO!! Hawajali kitu!! Msafara wa magari 13 wanini akiwemo RAS?!!!tail driving ni uendeshaji hatari sana.
Gari ya mbele ikisimama ghafla ni ajali.
Kwa hadhi ya magari ya huu msafara, matengenezo ni ghali sana.
Walianza na kupuliza sumu , sumu ikampapasa Mwenezi, akapigwa na Dalili za Mafua Makali tu ,ila Makonda anaendelea kupiga kazi.Wanamtisha konda boy!!
Serikali ya Chama .Kwanini gari za serekali STL zinatumika kwa matumizi ya chama? Sasa si hasara kwa serekali hii hela ya mlipa kodi ndo inatumika hivi?
Na suala la misafara yake kutumia 2 Lane nalo liangaliwe yeye siyo kiingozi wa kiserekali atumie 1 Lane ili watumiaji wa barabara wengine nao wapate nafasai ya kuendelea na shughuli zao na siyo kusimamishwa pembeni zaidi ya dakika 30 hadi apite yeye
Duh hii mpyaMUNGU fundi
View attachment 2900932