Msafara wa Makonda wapata ajali

Msafara wa Makonda wapata ajali

Msafara wa magari 13 STL pamoja na maofisa waandamizi. Posho, mafuta etc Garama kiasi gani? Bila shaka mamilioni. Analipa nani? CCM au kodi zetu? Tunalipia kampeni za chama
Huo msafara una zaidi ya gari hamsini,hizo 13 ni sehemu ndogo tu ya msafara mzima. Ya kwake mwenyewe ilishapita wala haikuhusika kwenye hiyo ajali
 
OkAhimidiwe Mungu Muweza wa Yote...

Ajali hiyo isiwakatishe tamaa bali iwape nguvu zaidi na iwe ni fursa ya kuwa makini zaidi, lakini pia madereva kuwa mahiri zaidi wawapo barabarani wakiendesha 🐒

hata na hivyo ajali hiyo ichochee ujenzi na uboreshwaji wa miundombinu ya barabara ili iwe imara, bora na yenye kupitika kwa usalama zaidi na uhakika wa safari na misafara 🐒

Yote kwa yote, Mwenyezi Mungu awape ahuweni ya mapema majeruhi wote na wanaoendelea na safari awasimamie wafike Salama..
Usipende kumuhusisha Mungu Kwenye ujinga
 
Safari ya mwenezi wa chama, magari ya serekali yamo kwenye ajali! Huko kusini ndio dhalimu magu aliona Moshi mweupe, hadi anafariki akawa anakutana na mauzauza. Huko ushirikina ni wa kudumu ndio maana maendeleo ni mtihani.
Nilifurahi sana ile siku fashisti alipokutana na wababe wenzake wa gizani

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
tail driving ni uendeshaji hatari sana.

Gari ya mbele ikisimama ghafla ni ajali.

Kwa hadhi ya magari ya huu msafara, matengenezo ni ghali sana.
Na ni kodi watu wengine tunalipa kwa lazima wanakata juu kwa juu tena kodi yenyewe kubwa sanaaa halafu kuna wajinga wanachezea namna hii???kwann asitumie helcopter???hayo magari ni very expensive kutengeneza...halafu unasema ametatua kero..kero ipi aliotatua???si ni watu tu wanajilipa posho na per diem
 
Msafara wa magari 13 STL pamoja na maofisa waandamizi. Posho, mafuta etc Garama kiasi gani? Bila shaka mamilioni. Analipa nani? CCM au kodi zetu? Tunalipia kampeni za chama
Kodi za wananchi . Mambo ya CCM ila gharama kwa wanachi
 
Usipende kumuhusisha Mungu Kwenye ujinga
Mwenyezi Mungu awape ahuweni na uponyaji wa mapema, wagonjwa wote mahospitalini na majumbani, lakini zaidi sana, ahuishe na kutuliza nafsi na mioyo ya wanaoghadhabishwa na wale wote wamliliao Mungu katika shida, raha na changamoto zinazowakabili 🐒

Nakuombea utulivu nafsini pako, Mungu akuepushe na ubinafsi, kujihesabia haki na kujimilikisha uMungu kana kwamba wew ni Ndugu yake wa getini, wengine hawastahili kumuomba au kuombeana chochote chema kutoka kwake 🐒

R.I.P Laigwanan comrade EL
 
Narudia Usipende kumuhusisha Mungu kwenye mambo ya kijinga. Msafara wa magari 50 kwaajili ya Msemaji wa chama, huo ni ujinga uliopitiliza. Sasa makamu mwenyekiti au Katibu Mkuu atakuwa na msafara wa magari mangapi?. Watu wanafanya ujinga then unakimbilia kumtaja Mungu
 
Back
Top Bottom